Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

kama kiongozi mkubwa kama huyu anashindwa kuwa mkweli katika suala la kutaja kwa usahihi mwezi na mwaka kuzaliwa, je leo ataweza kutaja na kutafuta masuluhisho ya matatizo ya nchi???

Na huyu kesho mtasikia anapewa uwaziri kamili, au ubalozi au kesho kutwa utasikia ni gavana....

Sisitimu hii ya kuteuana tu bila kujali mtu ni msafi kiasi gani ni shida sana

kimoja hicho cha masters kimeandikwa tareh 7/7/1978, na kingine cha o-level ni 7 january 1975!!
Kiongozi hebu tusaidie na taarifa zake kwenye website ya bunge zinasemaje???
 
Kwani ameishatangaza rasmi kama anagombea Urais?

Mbona mnataka kumlisha maneno?

Kama alijidanganya kugombea ubunge na atatangaza kugombea Urais wakati anafahamu kuna matatizo ambayo hayana majibu kwenye umri atakuwa ni mpumbavu

Eti, ww ndio Mwigulu Nchemba mkuu au tutarajie mwingine
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona..tunataka majina yake halisi hapa.inasemekena alipoka nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu kwenda sekondari

Huyu si ndiye anaye jiita msomi nambari 2 hapa tz?
 
[h=2]EMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1661.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Mwigulu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Lameck[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Nchemba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Iramba Magharibi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 52 Kiomboi, Iramba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 878 513446/+255 757 946223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]mnchemba@parliament .go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]7 January 1975[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]Masters(Economics)[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]Degree (Economics)[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The East African Uongozi Institute[/TD]
[TD="align: center"]Management[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mazengo Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilboru Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Makunda Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"](PhD (Economics by Thesis)[/TD]
[TD="align: center"]2014[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]On progress[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Deputy Minister Of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Iramba West Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Bank of Tanzania[/TD]
[TD]Economist I- Directory of Economic Policy[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - UVCCM National Meeting[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - National Executive Committee (NEC)[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - District Youth Board[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[h=3][/h]





[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Si wanasemaga Mwigulu sio yeye, anatumia jina la mtu mwingine, sasa tutaamini kwamba hizi documents zinamuhusu?
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

Mtu mmoja kazaliwa miaka miwili tofauti, birthday ya kubumba, kazi kweli kweli.......Only in Tanzania
 
anajiita mchumi daraja la kwanza, mbona ufaulu wa kawaida sana, A sita na B tano

Nilicheka sana alivyokoga watazamaji siku ile anachangia pale Bungeni alipojiita Mchumi I kwa mbwembwe nyingi. Kweli ni daraja la I lakn maana yake ni nini?

Graduate anapoajiriwa anaanza na daraja la II. Baada ya mwaka anapata daraja la I. Inakuwa hivi:

Daraja la II
Daraja la I
Mwandamizi
Mchumu Mkuu II
Mchumi Mkuu I
Assistant Director
Director
Katibu Mkuu
Katibu Kiongozi
Rais

Niweza kusahihishwa
 
Yeye ndiye atulete hivyo verified kama anavyo

Sasa hiyo ndio hekima ya mwana JF , na kwa kauli hiyo uliyotoa naomba basi hata asiendelee kuhukumiwa mpaka na yeyeyh atapoweka mambo hadharani kwa upande wake. Tafadhari tumtendee haki mkuu Mwigulu @nchemba
 
Last edited by a moderator:
Nilicheka sana alivyokoga watazamaji siku ile anachangia pale Bungeni alipojiita Mchumi I kwa mbwembwe nyingi. Kweli ni daraja la I lakn maana yake ni nini?

Graduate anapoajiriwa anaanza na daraja la II. Baada ya mwaka anapata daraja la I. Inakuwa hivi:

Daraja la II
Daraja la I
Mwandamizi
Mchumu Mkuu II
Mchumi Mkuu I
Assistant Director
Director
Katibu Mkuu
Katibu Kiongozi
Rais

Niweza kusahihishwa

"Rais" imeingiaje hapo?
 
Sasa hiyo ndio hekima ya mwana JF , na kwa kauli hiyo uliyotoa naomba basi hata asiendelee kuhukumiwa mpaka na yeyeyh atapoweka mambo hadharani kwa upande wake. Tafadhari tumtendee haki mkuu Mwigulu @nchemba

Averify nani sasa? Yeye Mwenyewe? Certificate issuing authorities? au Mwanasheria?
 
Hao UDSM ni mabingwa wa kukosea,wanaweza kosea hata matokeo yako,mimi naona mwigulu atuletee cheti chake cha NECTA ,hao Udsm watakuwa wamekosea

NECTA miaka hiyo walikuwa wanaandika miaka yakuzaliwa kwenye vyeti? Labda miaka hii!!
 
Umri uliopo kwenye leaving certificate ndio huo huo uliopo kwenye CV yake kwenye website ya Bunge, issue za kuchakachua umri kwa nchi yetu ni ugonjwa tangu enzi za mkoloni madhara yake ndio haya tunayoona sasa hivi unakuta mtu mzima kachoka alafu bado hajastaafu unaambiwa umri hujafika

Ok sawa , lakiniwajua hata zile wasifu za wabunge zilizoko katika wavuti wa bunge bado ni za kutlia mashaka mashaka tu, kwani kuna wabunge sijui hata kuandikiwa CV inakuwa nongwa yaani unakuta CV yake haieleweki kwa namna ilivyo pangiliwa vibaya utadhani ni summary ya Dr. anapokuwa mafunzoni , pia baadhi ya taarifa muhimu kukosekana katika wasifu husika kwa kweli hili ni janga la kitaifa.
 
Sasa hiyo ndio hekima ya mwana JF , na kwa kauli hiyo uliyotoa naomba basi hata asiendelee kuhukumiwa mpaka na yeyeyh atapoweka mambo hadharani kwa upande wake. Tafadhari tumtendee haki mkuu Mwigulu @nchemba

Kama alivyowatendea haki kina kileo na lwakatare.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye cheti chake cha A-Level (leaving certificate) aweke hapa tulinganishe. nasikia hata majina yake ni ya kimagumashi sio majina yake halisi
Na hiyo form four ya kumaliza na miaka almost 23 ni ya wapi hiyo? manake kwa umri huo watu weshamaliza chuo
 
Back
Top Bottom