ndoze
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,187
- 1,108
Aondoke tu sababu hata wengine walioghushi vyeti wameondokaHiyo kazi anayofanya vizuri akafanyie kwake we need to work with clean people who never dare cheating
Aondoke tu sababu hata wengine walioghushi vyeti wameondokaHiyo kazi anayofanya vizuri akafanyie kwake we need to work with clean people who never dare cheating
Mbona hata CHADEMA wa namna hiyo wapo?huyu ni **** tokea Mazengo sec.school
Wizara ya mambo ya ndani inaongozwa na wadanganyifu watupu ! Hivi kutakuwa na haki hapo kweli ?Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.
Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.
Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.
Source: Wall page IG by Alberto msando.
View attachment 220377
View attachment 220378
Taratibu basi waungwana , mtapandisha visukari vya watu jamani .Mwenye cheti chake cha A-Level (leaving certificate) aweke hapa tulinganishe. nasikia hata majina yake ni ya kimagumashi sio majina yake halisi
kuna cheti cha kugushi mahaliSiku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.
Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.
Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.
Source: Wall page IG by Alberto msando.
View attachment 220377
View attachment 220378
Walau hata tarehe na mwezi vingefanana tungesema walikosea mwaka!!haya ndo mafisadi ya elimu.....1978 vs 1975???
Naomba mwigulu atuambie ukweli juu ya jina lake na umri wake...Mwigulu hawezi kujahapa wewe, habarza kweli atakanushaje?
Hamuishi figisufigisu.Kwanini Waziri unadaganya umri? Njoo hapa ukanushe kuwa kama vyeti si vyako...Sitti mtemvu part 2