Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Kubwa sana kwenye kipindi hiki cha uhakiki.

Angalau jamii inao ushahidi usio na shaka kuwa vyeti vya mwigulu vinaashiria udanganyifu.
Zoezi limpitie.

Ndyo maana Mbatia kaomba uhakiki uanze juu kushuka chini
 
Dah...Hata kama hana kabisa tarehe ya kuzaliwa..cha msingi kazi yake anaifanya?
 
Mwigulu naye ahakikiwe, hata kama alinunua jina std7, hairuusiwi kitaaluma. Na wanaosema kazi yake anaifanya vizur kwahiyo aachwe, mbona watumishi wa umma waliofukuzwa walikua wanafanya kaz vzur tuu na walizisomea, kwann Mwigulu naye asiondoke? Aondoke tu ili kuwe na fairness na ili hili zoez la uhakiki wa vyeti liwe na mantiki.
 
Hiyo kazi anayofanya vizuri akafanyie kwake we need to work with clean people who never dare cheating
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.

Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.

Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.

Source: Wall page IG by Alberto msando.

View attachment 220377
View attachment 220378
Kwani siku hizi umri unakaa kwenye vyeti vya academics na si birth cert?? Bado sijaielewa post...
 
Hao waliofutwa Kazi kwa kufoji vyeti walikuwa hawafanyi kazi?
Tena wengine ndio walimu ambao waliwafundisha hao mawaziri wa Leo waliofanya kosa hilo hilo alilofanya huyo mwalimu ambaye wanamuondoa kazini Leo akiwa amebakiza mwaka mmoja au miwili kustaafu.
Mbona hawaendi jeshini na Polisi ambako matumizi ya vyeti vya Shule kutumika kwenda kusomea taaluma hizo ulikuwa kama utamaduni? Hili ni zoezi lisilo na weledi kwani limekaa kisiasa huku likiumiza baadhi ya makundi ya waTZ.
Hivi mtu aliyefeli F4 akatumia jina la mtu akasoma tena ma kufaulu F6, akaendelea hadi kuwa daktari bingwa wa Moyo tutakuwa na akili kweli kumuondoa kwenye taaluma hiyo badala ya kuweka adhabu ndogo kwa kosa la awali?
Jeshini hawagusi kwa kuwa waweza kuta 30% wana tatizo hilo hapo itakuwaje?
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.

Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.

Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.

Source: Wall page IG by Alberto msando.

View attachment 220377
View attachment 220378
Haha unaweza kuta hata hilo jina si kakwakwe.... Yale mambo ya zamani km mzazi wako anauwezo mnanunua jina la mtu aliyefaulu
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.

Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.

Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.

Source: Wall page IG by Alberto msando.

View attachment 220377
View attachment 220378

mh!
 
Back
Top Bottom