Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Majirani zake huko singida wanasema huyu mwigulu sio yeye. huyu ni fake?
Tafadhali hao majirani zake watuambie kama huyu Mwigulu anamdogo wake aliyemfuata,na kama yupo watuambie huyo mdogo mtu yaani aliyemnyang`anya ziwa mwigulu kazaliwa lini ilitulinganishe isije ikawa mdogo wake kazaliwa1975 na mwigulu ambane ni mkubwa kazaliwa 1978 ndo tutajua mbivu na mbichi
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.

Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.

Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.

Source: Wall page IG by Alberto msando.

View attachment 220377
View attachment 220378

Mimi nasangaa Mwigulu na mimi kwa yeye anavyosema tumezaliwa mwaka mmoja na tumesoma shule ya O-level mmoja. Cha ajabu nimempita madarasa matano (5). Yaani wakati namaliza Form 4 mwaka 1993 yeye alikuwa hajaanza hata form 1 mpaka miaka mingine miwili nyuma! !😂. Yaani ina maana kaingia Form 1 na miaka 20 wakati mimi nikiwa Form 6. Sasa nashangaa walimpokea vipi special student pale Ilboru kijana wa miaka 20 form 1 sio sawa kwa vijana wengine. Mimi niliingia Form 1 kabla hata ya miaka 15 haijafika.
 
Back
Top Bottom