MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.
Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.
Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.
Source: Wall page IG by Alberto msando.
View attachment 220377
View attachment 220378
Hii ni muhimu sana ila kwanza tunataka uhakiki wa PhD zote nchini.