kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Mwigamba alitoa akapigwa matofari kwenye kikao,je hiyo ni demokrasia?
Ukitaka kujua watu wanapuuza vipi vyama vya kisiasa hapa nchini , angalia ccm maana kina miaka zaidi ya hamsini lakini wanatumia nguvu nyingi kana kwamba chama kipya, na hii ni dalili ya kupuuzwa, Mkuu mara zote chema hakipaswi kutumia nguvu, ukiona hivyo ujue kuna jambo kubwa, kwa viwango vya kisiasa ccm ndiyo inapuuzwa kutokana na ukongwe na bado inafanya vitu kama chama kichanga, angalia hata hiyo mikakati ya kufungua na kufunga mafunzo ya vijana, usanii wa kujifanya wanashiriki katika shughuli za vijijini ni vielelezo wazi, alafu hayo yote ni mambo ambayo si endelevu. Hakika CCM imara imemalizika wakati wa kipindi cha Mzee Mwinyi!
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE

CHADEMA ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!
MAONI YANGU KWA KILE KINACHOENDELEA KATI YA LEMA NA ZITTO NI DALILI MBAYA KWA CDM KWA SABABU ZIFUATAZO
1. Kama suala la posho wameshindwa kukaa chini na kulimaliza kimya kimya ndani ya chama, je wakipewa nchi si watauana hawa, wataweza kuwa wamoja?? wataweza kutatua matatizo kwa vikao
2. Je hawana viongozi?? DR SLAA YUPO WAPI SASA maana kwenye suala kama hili angewaita mara moja na kuwaonya kama katibu wa chama
3. CCM itazidi kuongoza nchi hii miaka na miaka kwa sababu wapinzani hawana umoja, muda mwingi wanagombana kwa mambo ambayo wangekaa na kuyatatua kama wasomi. Pili hata kama ZITTO anamatatizo kwa nini wasimuite kama chama wakae naye na kuyazungumza matatizo yake yote na mwisho wa siku wawe kitu kimoja
4. Wakosefu wapo kila sehemu hata CCM wapo lakini kama mmekomaa, Ni kufanya kama Nyerere enzi zake ukikosea anakuita ofisini kwake mnazungumza na kukuonya kwa makosa uliyoyafanya kwa misingi ya kutatua matatizo
5. Niliamini CDM wamekomaa, kwa hili ilivyo kati ya ZITTO na LEMA ni mtaji mkubwa kwa CCM
6. Ugomvi wa LEMA na M|kiti wa mkoa wa arusha pia ni dalili mbaya kwa chama. Kwa nini wasingekaa naye kwenye vikao ili kutatua matatizo aliyonayo badala ya kufanya vurugu na timua timua
7. Kama kweli WAPINZANI wanania ya kuongoza nchi hii wajitafakari na kuwa wamoja
8. ZITTO naye kama kiongozi wa PAC badala ya kuita vyombo vya habari angeongea na MKAGUZI MKUU WA SERIKALI na kumuuliza kuhusu hesabu za vyama badala ya kuanza kulipuana. Hapo naye nilimuondolea maksi kwa maana kama kiongozi hutakiwi kukimbilia kwenye vyombo vya habari kwa kila jambo, msingi mkuu ni kutatua tatizo kwa kuzungumza na kupeana hitimisho ili hapo baadae sasa ndo unaweza kutoa kwenye vyombo vya habari yaliyojiri. Maana yangu hapa ni kwamba yeye zitto anatoka chadema na nikiongozi kwenye chama je hakujuwa status ya kukaguliwa?? Pili je akiwa kiongozi wa nchi ataweza kuhilimili mikimiki ya matatizo hapo ndo ninapoona JK anaweza ingawa anaangushwa na watz wenyewe.
Naona upo kwenye ndoto za asubuhiChadema kushika nchi hii sio leo wala kesho labda mpaka CHAUSTA au SAU vitakaposhika nchi ndipo chadema ifate...
CHADEMA ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!