Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Mwigulu wakati ukiwa waziri mambo ya ndani watu wengi wameuawa sana na kutupwa baharini.umehusika kutaka kumuua mbowe Kwa mabomu olasiti.sijui Kwa mini nawe bado upon hair kwanza tunakukumbusha ukafute maandishi yako yaliyotapakaa njia nzima kuelekea mwanza
 
Tatizo la Mwigulu ni nini wakati katiba ndiyo imetoa mwanya huo wa kujadili personality au afya ya kiingozi?, katiba imeyatamka hayo hadharani kwa kila atakayeisoma na tafsiri yake ni kwamba hali ya afya ya kiongozi nayo inapaswa kuwa hadharani .
Ukisha kuwa kiongozi tu tambua kwamba you are open to the public, kama hautaki basi ysiusigelee uongozi.
Huyu Mwigulu Nchemba akili zake hazipo sawa mahali tangu zamani ni wa kumpuuza tu.
m naona apo cha muhim ni kwamb alicho ongea zitto hakikuw sahihi kwa muda uh__ saiz tupo msibani marumbano sio tamaduni yetu kama dukuduku lake halimruhusu kutoa maneno y kufariji bx akae kimy ad pale mazishi yaishe
 
Zitto kawakosea heshima wafiwa wote kwa ujumla wao. Huu sio muda wa kuanza kusema nani ni mchawi na nani sio mchawi.

Hiki ndicho kizazi chenye kutakiwa kuwa na mawazo yenye hekima ya kiuongozi lakini kinachoonekana ni kinyume kabisa na matarajio.
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Umeli elezea vizuri sana, lakini hata hivyo naona kama vile pia ulikuwa si muda mzuri kumjibu Kabwe kwa wakati huu wa majonzi, ingefaa tusubiri tupite kwenye hili janga zaidi ya hapo ni kwamba utakuwa umelichochea moto badala ya kuli poozesha , hata kunyamaza pia huwa ni hekima na jibu tosha.
 
Mwigulu usijipendekeze kwa Mh.Rais,zama zako zimepita.huna chako tena.Bora ukae kimya.Tundu Lissu anapigwa risasi wewe ukiwa wazuri wa mambo ya ndani,hakuna jitihada za makudi ulizochukua,hadi unafurushwa.
Leo unathubutu kujadili hoja ya Zitto
 
Mnaohangaika na Zitto ndo mnakosea. Zitto anasumbuliwa, hatunae kiakili: anaumwa. Ni mtumwa. Anatumikia ugonjwa unaoitwa Acquired Humanistic Deficiency Syndrome (AHDS). Kwa kiswahili, Zitto ameambukizwa upungufu wa utu... Huo n ugonjwa mbaya sana. Mtu mwenye AHDS, kila nafasi is an opportunity: msiba n opportunity, ajali au ugonjwa wa mwenzake n opportunity.... Anything is an opportunity to an AHDS patient!
AHDS in realistic itakuwa inawasumbua hao wanaovaa nguo za rangi ya mbogamboga.Nakupa mfano au rejea aka references ya Kupigwa risasi Lissu mbogamboga wameshindwa hata kumgaramia matibabu pia wameshindwa kufanya uchunguzi paka leo.Kifo kibaya cha Alphonce Mawazo,Acquilina huyo Mwigulu akiwa Waziri mny dhamana hakuwai kuwa upande wetu ye ni majibu ya hovyohovyo tu.Sijui ni watu wa aina gani hawa! Sasa mny huo ugonjwa ni nani km sio wewe mzee wa AHDS,Mwigulu na wana mbogamboga.
 
m naona apo cha muhim ni kwamb alicho ongea zitto hakikuw sahihi kwa muda uh__ saiz tupo msibani marumbano sio tamaduni yetu kama dukuduku lake halimruhusu kutoa maneno y kufariji bx akae kimy ad pale mazishi yaishe
Katika kuomboleza kila mtu ana style yake...wengine hulia huku waimba, wengine huku wanaongea.
Rais kwa upande wake ameamua kunyoa upara kabisa, hata 'O' yake ameiondoa yote. Akina zitto wao wanaimba na kuongea hakuna maamlum myda sahihi ni pale linapokuuma.
Hata ukija myda unaofimiriwa kuwa nao ni sahihi bado wataambiwa kuwa wanachoongea ni uchochezi au wasiwakumbushe ndugu uchungu wa kupotelewa na ndugu yao au wawaache marehemu wapumzike huko walipo
 
m naona apo cha muhim ni kwamb alicho ongea zitto hakikuw sahihi kwa muda uh__ saiz tupo msibani marumbano sio tamaduni yetu kama dukuduku lake halimruhusu kutoa maneno y kufariji bx akae kimy ad pale mazishi yaishe
Hivi misibani watu hawaongei ukiwemo wewe? Tuache unafiki
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
 
Mwigulu huyu na bado laana itamtafuna popote aendapo.Bado tunakumbuka alivyoshughulikia watu wasiojulikana kwa kuteka raia wasio na hatia na kuwatupia mto mara.Kwa kujitoa akili makusudi na kudhalilisha chuo na elimu yake ambayo ilifaa aitumie kuleta maendeleo.Leo anadai eti tupo kwenye msiba.Rais apimwe akili na wateule wake wengi wao ni wavivu wa kufikiri.Kiufupi Mwigulu anajijali yeye tu,hajali ya wengine maana alivyoshika nafasi aliona wengine takataka.Mwambieni hatujasahau.
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
 
Mnaohangaika na Zitto ndo mnakosea. Zitto anasumbuliwa, hatunae kiakili: anaumwa. Ni mtumwa. Anatumikia ugonjwa unaoitwa Acquired Humanistic Deficiency Syndrome (AHDS). Kwa kiswahili, Zitto ameambukizwa upungufu wa utu... Huo n ugonjwa mbaya sana. Mtu mwenye AHDS, kila nafasi is an opportunity: msiba n opportunity, ajali au ugonjwa wa mwenzake n opportunity.... Anything is an opportunity to an AHDS patient!

Umeielewa post ya ZZK au unasumbuliwa na "kichaa kichaa"?!
 
Zitto yuko sahihi kabisa jamaa ana matatizo ya akili, wenye kumpinga Zitto waje na hoja za maana kuliko hoja hizi za akina Mwigulu ambapo sijaona sehemu amempinga Zitto kwa hoja
Ata yeye zitto ni mgonjwa,na yeye kama hana matatizo ya akili atueleze in kifungu gani katika sheria ya vyama vya siasa kinachoruhusu chama kuwa na kiongozi MKUU wakati huohuo kina Mwenyekiti na Katibu mkuu!
 
Safi sana Mh. kwa kuwapa jibu zuri

Hao walafi wa upinzani wao hawajali wananchi bali matumbo yao tu.

Kumbuka wote waliotumbuliwa kwa ufisadi na ubadhirifu wana nasaba na chama tawala, hakuna hata mmoja kutoka upinzani, kujali wananchi ni kuendekeza ubadhirifu na ufisadi!
 
.....chadema walimfanyia 'road show' Ndesamburo kama kilimanjaro lager huku makamanda wamekita magwanda !

Acha utoto dogo, msiba wa Ndesamburo haukuwa wakitaifa bali wa mwanachama wa cdm.
 
Inahitaji uwe na reciprocal thinking uweze kuelewa fasihi ya Mwigulu wengi wataishia kumshambulia kwa asichomaanish
 
Ahsante sana mkuu kwa kuweka sawa ule upotoshaji wa Mwigulu Nchemba wa kuhusisha tweet ya Zitto na tukio la kupinduka kwa MV Nyerere
Ni upotoshaji wa makusudi tu mkuu.

Jiulize ni kwanini hajaongelea tweet ya Zitto kuhusu maSGR na Dreamliner ambazo ni sahihi kabisa na badala yake anakimbilia hoja ya ibara ya 37 (2) ya katiba ambayo kwa mazingira Zitto aliitoa akiwa na sababu tofauti kabisa tena kabla hata ajali haijatokea.
 
Back
Top Bottom