Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Jamani mwigulu jamaa si alisema mwenyew kuwa yeye ni kichaaa sasa hapa unataka tuanze kupelekana shule kutambua ukichaa maana yake nini.... Zito kasema apelekwe kwa madakitari bigwa akapimwe huo ukichaa wake kama ukichaa naumudu basi aendeleee kuwa rais kama hawezi basi apelekwe milembe
Hahahahaa hivi wabongo mko serious kweli??;
 
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
Nawewe baba mtu mzima acha kuzalilisha huo utu uzima tupo msibani acha kelele wewe na unaemtetea hamna tofauti wote mna roho chafu za shetani hivi kweli una akili timamu au nawe tukutafutie ibara ya kukupima ili tujue kuwa ubaki uraiani au milembe kwa kumtetea huyu fedhuli mwenzio, huwa nachefukwa sana kila niona jina lake kwenye mawe kuanzia dodoma hadi mwanza narudia tena wote mna roho chafu chafu.......
 
Mwigulu aache kujipendekeza, kwani kutoa ushauri mtu akaangaliwe afya yake ni dhambi, isitoshe ni kiongozi wetu, na ili atimize majukumu yake vema anatakiwa kuwa na afya njema. Jinsi mambo ambavyo yanaendeshwa ndio yamepelekea Zitto ameona Ibara ya 37(2) itumike. Sioni kama ni jambo baya, ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
 
Kwa Huruma ipi aliyonayo Jiwe? Acheni Kumudhiha Raia wa Tanzania!
 
Nchemba alishwahi kuwaita marehemu waliokuwa wanaokotwa ufukweni kuwa ni wakimbizi ,
Leo anajifanya mwenye huruma ??
Mnafiki mkubwa
 
Ata ukipigwa na chini bado unarudi na magoti unapiga, hichi ndicho kinachotugarimu na mfalme akazidi power kuendelea kutuumiza
 
Yaleyale yakukukrupuka toka shimoni kama nungunungu,weka hadharani mauaji(ushahidi) yaliotekelezwa kwa maagizo ya Mwigulu pasi na kuacha shaka,acheni siasa za bei rahisi
Endelea kutetea wasiojuliana utaelewa siku ukikuta shangazi yako amebinuliwa kichuguu nyamberf, Siyo huyu aliejibu kuwa "hao watakuwa wahamiaji haramu" alipouliza serikali imechukua hatua gani juu ya miili iliyookotwa ndani ya sandarus mto ruvu na akati yy alikuwa waziri mwenye zamana sasa watu wasemeje? Usipotoa majibu lojiko basi wanadamu watajua kwanini, au nawe unafukuzia uteuzi? Hivi hayo MAGIMBI ya LUMUMBA yamewekwa limbwata au?
 
Sijajua Mh Migulu analalamika nini hapa. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, hilo baraza litajueaje kuhusu afya ya raisi lisipoifuatilia? Tuna haki kujua afya ya kiongozi wa juu kabisa wa kitaifa na hii ni kwa mujibu wa vifungu hivyo hivyo vilivyopo hapo juu. Ubinadamu upi unauzungumzia baada ya matukio lukuki uliyoyasimamia kuumiza watu? Zito anajua anachokitafuta na sio kwa level unayojaribu kuielezea. Ameweka jiwe la msingi ili upatikane mjadala utakaoliponya taifa. Ukisema kwanini wakati huu nasi tutauliza kwanini limetokea pamoja na maonyo yaliyotolewa na mbunge wabupinzani bungeni? Maana akiongelea mpinzani hasikilizwi na eti waliochagua chama kingine hawatapelekewa maendeleo sababu wameikataa ilani ya ccm. Kweli ndio kiwango cha kufikiri hicho? Je mna mfano wa nchi zingine zinakataa kupeleka maendeleo kisa kachaguliwa wa chama kingine? Nilitegemea kungekuwa na watu wamejiuzuru muda huu ila kwa maajabu wanaendelea kuwepo ofisini na kuwashutumu wengine kuwa tukio linatumika kisiasa. Inahuzunisha sana. Poleni Watanzania na wafiwa. Mwenyezi Mungu awatie nguvu.
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Sijui Dkt. Mwigulu au vyo vyote vile uitwavyo, usitake kuaminisha watu wote kuwa huyo unayemtetea ni baba yetu. Labda ni baba yako wewe na wengine wachache muaminio katika nadharia hiyo. Yawezekana ukawa sawa katika suala la umri.. Kuwa ni sawa na baba.. Lakini kumbuka kuwa si kila baba ni baba kwa maana ya baba. Huyo ni baba yako wewe. Yawezekana wewe ndo hujamwelewa Zitto. Lakini mie nimemwelewa na si kwa mtazamo kama wako. Pia kumbuka kuwa, hata kama ni baba yako au baba yetu kama unavyotaka wengi waamini, kama hana hekima machoni pa watu na mbele za Mungu, na yeye pia hachungi wala kujipeleleza katika kauli zake kabla ya kuzitamka kwa wengine, UHALALI WA KUITWA BABA UNAKOMA MARA MOJA. Rejea kauli zake kwa wahanga wa tetemeko KAGERA, na katika matukio mengine mengi.. Je, yeye hakujua kuwa wahanga wale wanahitaji lugha ya faraja toka kwa baba yao? Iweje wewe, ndo uone kuwa Zitto, kama unavyotaka watu wengi waamini kuwa hana utu? Utu kwako ni nini? Au unachanganya kati ya neno "UBINADAMU" na "UTU"? Kama baba yako huyo angelikuwa na UTU basi asingelitumia ubinadamu wake kudhihaki wengine.. Na ndo maana maandiko matakatifu yanasema kuwa "...duniani wako watu wangu...." na si binadamu wangu. Tumia akili yako kuinena na kuitenda iliyo kweli kwa maana hivyo vitakuweka huru. Kipindi cha nyuma nilikuona una utu na ungeliweza kulisaidia taifa, lakini uliporuhusu ubinatamu ukutawale akili, ukaharibikiwa kabisaaaa... Be yourself, kaka Mwingulu.
 
Darasa lipi? Labda vidudu sijui chekechea kwa uandishi huo hizi PHD za kukariri shida. Mwigulu acha unafiki. Zitto yupo sahihi. Una lingine kwani?
 
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
Roho ya nyamaa!!??
Nawe wahitajika upimwe pale taasisini jirani ni "idara ya mkoa",Dodoma.
 
Naona kuna hoja hapa hata kama mtu atachukia
Zito ni msomi na huwa anasoma vitabu sana lakini ningemuomba akamsome the mad king of Bavaria ndio atajua Rais wetu ni tofauti kabisa.

Nachangia kama mtanzania na sio mshabiki wa chama
Ningeomba mkasome huyo mfalme ndio mtajua hiyo ibara ilimhusu kweli.

20180923_111952.jpeg
 
Inahitaji uwe na reciprocal thinking uweze kuelewa fasihi ya Mwigulu wengi wataishia kumshambulia kwa asichomaanish
Asichomaanisha kipi? Mtu mwingine asiye na wajihi kama wa Mwigulu angeongea maneno ya Mwigulu angeeleweka. Unajua kabisa huyu chui unakula wanyama wengine kisha anasema simba hakufanya vizuri kumla swala asiyenona. Unadhani unaeleweka?
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Hii nayo ni ishara ya kutopenda kuambiwa ukweli. Vifo vimeshatokea, habari ya kusubiri mazishi ndo mtu uambiwe ukweli, ni sawa na kutaka kutupangia muda wa kusema.

Kubalini kwamba mnakosea kila siku, hamjali mahitaji ya watu hata yakisemwa hadharani kwenu niny ni kama upepo uvumao tu na kutulia...hamsikii na mkisikia hamtendi

Mwigulu amekuwa kweny wizara ya mambo ya ndani...ni mara ngapi amesikia kilio cha wana ukerewe kuhusu ubovu wa kivuko na udogo wake ukilinganisha na mahitaji ya watu!?? Lakini uliwahi kushauri nini kwa baraza lenu au uliwahi kuchukua hatua gani kama waziri mweny dhamana ya usalama wa ndani!?

Viongozi wa Tz hasa watawala mna akili za ajabu sana...mnapenda kuwageuzia watu wengine cases kisa tu mmepewa mamlaka ya kuongoza kundi la wajinga

Kwa hili mnastahili kuwajibika na kukubali na kujibu tuhuma zote bila kuombaomba huruma kwa watu maana hamuambiliki.
 
Yeye alikuwa na nafasi ya kutumia elimu yake ya PhD kujiongezea nafasi na kukubalika.Badala yake akawa anatishia watu hata solution hatoi.Inaonesha yupo vizuri sana kukariri ila kwenye uhalisia jamaa yupo zero.
Kwa walio karibu naye hilo wanalifahamu vema
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Kwani tatizo nini Mwigulu,Zitto yupo sahihi mtu kufika kujitangaza hadharani kumba yeye chizi bado aendelee kuongoza wenye akili inakuwaje apo au nawewe tayari
 
Back
Top Bottom