Kingine,
Sisi hua tunapenda kumhukumu mtu bila ya kuelewa jambo wala kulichanganua vizuri. Na tunatabia ya kushangilia au kuponda mambo hovyo hovyo.
Neno "maradhi ya kichwani" lina husisha mambo mengi sana, ila watu wanakimbilia kuhukumu kua kamaanisha wehu au kichaa tu.
Maradhi ya kichwa, kisaikolojia lina cover mpaka;
1) Wendawazimu.
2) Stress. (Msongo wa mawazo)
3) Kutokulala.
4) Hasira.
5) Uvivu.
6) Kujiona mtu unaestahili special treatment (Majigambo).
7) Kutokusikiliza ushauri.
NB na mengine mengi sana tu.