Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
PM Muongo muongo huyu
 
jamaa bado ana siasa za mwaka 47

kila nikikumbuka kale kavideo alitenganeza eti kuonesha watu wana mpango wa kufanya fujo sijui kulipua mabomu kwenye mkutano

naona kabisa jamaa bado ana u bush bush mwingi kwa head na hauwezi mtoka kamwe
Sasa wewe nyani umetumia vigezo gani kumpinga Mwigulu??

Kwanza kwa nafasi yake ametoa tip tu, mambo ya ushahidi yanaihusu Polisi na Mahakama. Shut up your mouth
Mwigulu ni mjanja mjanja. Muuaji. Tapeli.
Sijawahi kumsahau kwenye mkasa wa Soweto Arusha.
Nilikwepa bomu... Nika-dive kupishana na live rounds.
Lost my phone and wallet in the process.
 
hizo propaganda zilifaa zifanywe na waenezi wa chama na siyo Pm.
ccm inabidi ifanye installation kwenye akili zao ili waweze kuendana na dunia ya leo ilipofikia.

🚮wanafanya uongo wa mwaka 47
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA
 
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
Kati ya viongozi wa juu wa hovyo ni huyu mwigulu, mnafiki sana muongo, anapenda kujikweza, kichwa hamna kitu ingawa anajiona smart lakini ni sufuri kabisa huyu
 
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
Hawa dhubutu kuuwa watanzania 7/7.Dunia nzima inawatazama hawa wahuni.
 
Naandika nikiwa na Masikitiko Makubwa sana Juu ya Taifa langu na Selikali hii ya Awamu ya sita.
Mimi ni Mtumishi wa Mungu nitaandika kwa Kifupi sana.

Mungu alimpa Musa Torati na ndani yake Kulikuwako Sheria Amri na Hukumu, kuwaongoza wama wa Islael.

Amri zake Zilikuwa kumi ambazo Naziona zote zikivunjwq na selikali ya Tanzania, Lakini zaidi naona nyingine zikivunjwa wazi wazi bila hofu wala Uoga.

1. UONGO.
Kila kitu kinachofanywa na hawa watu ni Uongo wa wazi kwa kisingizio cha Propaganda.
Mnawakwaza sana watu hata ambao hawana upande mnawapeleka upande wa haki, Mnajichimbia kaburi kwa Maneno ya Uongo.

2. USIUE.
Hii ni amri ya Mungu inayikataza kufanya Mauaji juu ya Binadamu mwenzio.
Selikali hii imekuwa Ikiua Raia, October 29, Ikiteka, Ikitesa nk

3. WIZI.
Hawa ni Majizi wa kura.
Wanaiba kura kwa kushirikiana na waalimu, polisi na wakurugenzi kuiba matokeo ambayo si halali.
Wanawanyima watanganyika Uhuru wa kuchagua kiongozi wanaye mtaka. Wanawaibia utajili Shahabu, Madini Gas nk
Mungu alikuwa na Makusudio yake vkuviweka hapa Tanzania.

MWIGULU ACHA DHAMBI, ACHA UONGO. MAGUFULI NILIMWAMBIA HIVI HIVI.

MANE MANE TEKELI NA PERESI
 
Kuweni na adabu Mwigulu Mchemba au waziri mkuu
 
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
Kmmmmmk lizee liongo sana lile halafu linadhani tunaliamini. Siku hizi wala hatusikilizi ujinga wake maana linapiga tu makelele
 
Wanatafuta justification ya kuua maelfu ya Watanganyika kama walivyofanya 29.10.2025 wamenogewa na damu za Watanganyika hawa wehu.
Kama imezuiliwa ni kusubiri wakati muafaka, sio jambo la kudumu siku zote.
 
Ndio shida ya kuwa na viongozi washamba, hawa watu ni washamba sana, ni vile tu mfumo wetu mbovu ndio maana wamepata madaraka
 
Back
Top Bottom