Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Imagine mtu kama Katambi aliyewahi kuwa Chadema akifanyiwa vurugu na CCM leo yupo CCM anawaagiza polisi wawafanyie fujo Chadema!! Hii nchi imejaa watu stupid kote kote, waandamanaji wa leo ndio watawala wa kesho watakaoshika mtutu kuwakandamiza waandamanaji wa kesho kutwa.
Polepole alikuwa sehemu ya kukandamiza demokrasia ghafla sponsor wake amefariki naye analilia demokraskia ni mambo ya ajabu sana
 
jamaa bado ana siasa za mwaka 47

kila nikikumbuka kale kavideo alitenganeza eti kuonesha watu wana mpango wa kufanya fujo sijui kulipua mabomu kwenye mkutano

naona kabisa jamaa bado ana u bush bush mwingi kwa head na hauwezi mtoka kamwe
Kumbuka pia akiwa waziri wa mambo ya hapa hapa alikuwa katili sana!
 
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
CC:-
Dr. Mwigulu Nchemba
 
Back
Top Bottom