Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
Kwa hivyo utandamana?
 
Kwanza Mwigulu anao uhalali gani na cheo anachokishikilia sasa.
Hilo pekee linatosha kumpuuza huyu mshenzi.

Mwigulu toka zamani anajulikana kwa tabia zake mbovu. Lile bomu walilolipuliwa CHADEMA kule Arusha na kuua kiongozi wao mwanamke hadi leo haijulikani uhusika wake na janga hilo ulikuwaje.

Huyu ni mmoja wa watu wanaostahili kufanyiwa uchunguzi juu ya mienendo yao katika kuwaumiza waTanzania.
 
Uongo, fitina na mauaji ndo vimemfikisha hapo. Soon anaenda kuumbuka...

Huyu na samia watapigwa risasi hadharani pale uwanja wa taifa. Lazima washitakiwe na hukumu itakuwa kifo. Wameharibu sana hii nchi.
Nimeshindwa kuweka alama yoyote juu ya mchango huu; pamoja na kwamba nilitamani sana kuonyesha hisia zangu juu yake.
Hawa ni watu waovu, wanaostahili aina yoyote ya adhabu kwa matendo yao maovu kwa waTanzania..
Lakini sijui kwa nini hizo risasi uwanja wa taifa zimenistua kiasi hiki.

Binafsi ningependa kuona hawa wakimaliza maisha yao yote wakiwa jela.

Lakini kama safari hii wakiendeleza mauaji, na wakakamatwa wakati wa mapambano, hizo "risasi uwanjani" nitaziunga mkono bila ya mstuko wowote.
 
Sasa wewe nyani umetumia vigezo gani kumpinga Mwigulu??

Kwanza kwa nafasi yake ametoa tip tu, mambo ya ushahidi yanaihusu Polisi na Mahakama. Shut up your mouth
Hujabadilika chochote, wewe ni mtu mwovu kama walivyo hao wanaokufuga.
Mtu au watu wamekamatwa na vyombo vya dola; lakini hata wasionekane wanakamatwa na taarifa zao ziendelee kuwa siri
Do you have a head or pumpkin on you!
 
Matusi ni kawaida yako, yangekuwa yanaua basi ningekuwa nimekufa. Amani ni jambo la muhimu kuliko kitu chochote duniani na hususan kwa nchi yetu nzuri ya Tanzania.

Viongozi huja na kutoka, hata kama Samia alichaguliwa na watu 2% as long as Tume ya Uchaguzi ilimtangaza, anabakia ndiye Rais wetu hadi 2030. Hatuwezi kuleta mabadiliko kwa vurugu, na hili tumeliona Sudan
 
Achana na habari za "matusi"; habari hiyo ndiyo anayotumia Samia kuua na kuteka waTanzania.
Nyinyi ni watu waovu by nature.Period.
 
Kwanini utekwe? Mbona wewe unaandika miaka yote ya utawala wa Samia na haujatekwa?
 
Hujui kuwa watu wanatekwa na kuuawa, kwa sababu tu ya kutumia haki yao ya kujieleza; hili nalo unataka tupoteze muda humu kulizungumzia tena kwa kirefu?
Nilikueleza, dhamira uliyo nayo mwenyewe ndiyo itakayokuhukumu; usije humu JF kujifanya wewe ni mtu tofauti na hao waovu wenzio.
 
Mbona mwaka wa 5 huu wewe hujatekwa?
 
MTU kama Mimi ni realistic najua kuwa kwa Sasa TANZANIA mazingira ya kuandamana sio salama .

Na endapo ukajaribu , lazima upate madhara .

Kwahiyo MTU ambaye ni idealist anajaribu kuandamana akitegemea serikali itamlinda au wazungu ajue anakuwa kajitengenezea tatizo yeye , mwenyewe.
Imagine mtu kama Katambi aliyewahi kuwa Chadema akifanyiwa vurugu na CCM leo yupo CCM anawaagiza polisi wawafanyie fujo Chadema!! Hii nchi imejaa watu stupid kote kote, waandamanaji wa leo ndio watawala wa kesho watakaoshika mtutu kuwakandamiza waandamanaji wa kesho kutwa.
 
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
Aibu kubwa kuwa na mtu ambaye analipwa kwa kodi zetu alafu anadanganya walipa kodi.
 
MTU kama Mimi ni realistic najua kuwa kwa Sasa TANZANIA mazingira ya kuandamana sio salama .

Na endapo ukajaribu , lazima upate madhara .

Kwahiyo MTU ambaye ni idealist anajaribu kuandamana akitegemea serikali itamlinda au wazungu ajue anakuwa kajitengenezea tatizo yeye , mwenyewe.
Mzee utumbo wa bata vipi tena mbona unajipa sifa ambazo huna?. Wewe tangu lini uliandamana? Hufai kama utumbo wa bata, wewe uza hayo ma-container yako kwa wajinga wajinga wasiojua bei. Koma kabisa!
 
Kama sio yeye basi watoto wake au watoto wa watoto wake watalipia huu udhalimu wote anaoufanya baba yao kwasababu ya vyeo walivyojipa wenyewe baada ya kumwaga damu ya ndugu zetu watanzania
Uzuri teknolojia ni mwalimu mzuri sana na tunahifadhi kila ushahidi
 
Back
Top Bottom