Magufuli alilewa na sifa za uongo/za kinafiki... yanayoendelea sasa ndio ukweli.
Tutajionea mengi
Ubongo wako umeoza.
Chapo chachu hapo ndipo msemo huu ni mtajua hamjui
Mkuu kwanini ulimtisha Ben hapa jamvini?Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste
Hapa kulikuwa na unafiki hivi.Hii sentensi haikutakiwa kuwepo.Inamaana ikiwa utawalaUongozi wa kikwete kuna mahali ulikuwa na ualakini si ndiyo kusema Mwigulu ameshamtukana Mama Samia
Kasahau lwakatare wa chadema?Hapendi kuonea watu Mwigulu kamsahau Ulimboka? lile bomu kule Soweto Arusha Mwigulu akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Jaji Warioba alipigwa ngumi wakati gani? siasa tupu.
Simpendi mwigulu ila kaongea ukweliila huyu mwigulu hapo sija muelewa kabisa kwa nini ameongea statement kama hiyo