Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Mwanaume anakosa haya! mama alipokuwa kwa Kikwete alikuwa waziri wa kawaida sana, kama kujifunza basi kajifunza kwa mwendazake ambaye ndie alikuwa msaidizi wake wa karibu, aheri angekuwa Bilali na Dr Shein ambao ndio walikuwa wasiaidizi wa karibu wa Kikwete, hii tabia ya viongozi wetu kusema uongo na kujipendekeza inaleta taswira mbaya kama taifa.
 
Hapendi kuonea watu Mwigulu kamsahau Ulimboka? lile bomu kule Soweto Arusha Mwigulu akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Jaji Warioba alipigwa ngumi wakati gani? siasa tupu.
Mkuu Mwigulu anafurahisha bwana mkubwa anajua yeye ndie kashika mpini, kwanza alitakiwa aondoke kwa kasfa ya watu kujichotea mamilioni wakati nae yupo hapo hapo naona kajifunza tabia ya kujikomba baada ya kukalia jiwe alipoondolewa wizara ya mambo ya ndani, akawa na kazi moja tu bungeni kumshambulia Zitto kabwe na hatimae mwendazake akamrudisha sasa naona kaona kujikomba ndio njia ya kuishi.
 
Napata faraja kuona viongozi wakiwa wawazi awamu ya mheshimiwa Samia Suluhu, kuhusu utawala ule kuwa haukuwa rafiki kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom