NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 681
- 466
Una swali lenye mashiko ndugu mjumbeIla niliona kuna polisi pale wenye sare!
Swali kwanini hawakumkamata yule bwana aliyetoa bastola kama kweli hafahamiki?
Una swali lenye mashiko ndugu mjumbeIla niliona kuna polisi pale wenye sare!
Swali kwanini hawakumkamata yule bwana aliyetoa bastola kama kweli hafahamiki?
Ingekuwa ni hivyo tayari mzee wa media angejitokeza na kusema aliyemtishia nape bastola amekamatwa. Leo siku ya ngapi kimya?
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Mzee wa media???!!!!!!!!! unamaanisha Mwenyekiti wa MOAT
Aliyetoa hiyo ahadi ashasahau. Alisema mtu akitajwatajwa tu kwamba kafanya madudu, atamtoa leo hii kolomije kaionyesha dunia kwamba Tanzania sasa kuna vijana wanafanya vioja kama vya m23 lakini wapi. Hii dhambi ipo siku itamrudia tu huyo mtu.yale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Daa we acha tu Mkuu Dan Zwangendaba mkuu anazidi kusahau tuu kila kitu alichoahidi na kutamka before,kuna siku atasema mi ni rahisi wa mazombi sio watuAliyetoa hiyo ahadi ashasahau. Alisema mtu akitajwatajwa tu kwamba kafanya madudu, atamtoa leo hii kolomije kaionyesha dunia kwamba Tanzania sasa kuna vijana wanafanya vioja kama vya m23 lakini wapi. Hii dhambi ipo siku itamrudia tu huyo mtu.
Alipangwa na nani?Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
dah haya bhana. Ongezeni maigizo.Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
watanzania wa leo sio wa jana.
Mheshimiwa rais naye analalamika eti kosa la mtu mmoja lisichukuliwe kuwa ni kubwa na sio kweli kwamba serikali inali-support.
huyo ni amiri jeshi mkuu wa majeshi naye hataki kukubali serikali iwajibike anavitwisha lawama vyombo vya habari"eti kitendo cha kihalifu cha mtu mmoja"
waziri awe mkweli RPC wa kinondoni anamfahamu fika yule jamaa maana na yeye alikuwepo kwenye ile "operation dhibiti NAPE"ilioratibiwa na MAKONDA hata huyo Makonda yupo karibu zaidi na askari majasusi kuliko hata IGP maana ndio hao hao majasusi makonda alioingia nao kufanya fujo Clouds.
Wananchi tunaomba serikali iache kukwepa majukumu yake ya kulinda usalama wa raia wake,ni aibu sana kwa viongozi wa serikali kutekeleza majukumu yao kimtego mtego na kujiona kuwa wapo juu ya sheria na kwamba uhai wetu hauna thamani kwao!
In the verge of agonising truth.. Uttering excuses is naturalTatizo mnatumia hisia ktk kila kitu, mwenye mamlaka kasema hivyo.