Muulize baba mwenye nyumba wako ndio anayefahamu uhalisia wako unavyokwepa kulipa pango.Huu ni mtazamo wako kwangu nikikupinga nitakuwa chizi...lakini je ndio uhalisia?
Muulize baba mwenye nyumba wako ndio anayefahamu uhalisia wako unavyokwepa kulipa pango.Huu ni mtazamo wako kwangu nikikupinga nitakuwa chizi...lakini je ndio uhalisia?
Licha ya Unafique kuna jingine kubwa nyuma yake ambalo kila mmoja anagwaya kulisematatizo viongozi wetu wengi ni wanafiki.....
utasikia amehukumiwa kwenye mahakama za kijeshi au kapewa onyo kaliUkiangalia ile video kuna watu wanne walimfuata nape
1:aliyemtolea bastola
2:alivaa shati jeupe alimuamuru yule jamaa arudishe bastola
3:alivaa Tshirt nyeusi ,jeans na sneaker alifungua mlango wa gari
4:alivaa nguo sare na jamaa aliyetoa bastola
Wote ni polisi na wanajuana mwigulu una tuzuga na je lini atapelekwa mahakamani maana wote wanajulikana ni polisi
Mkuu inawezekana ikawa toyo gun ya watoto! Au walikuwa bongo movieUsiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Wakupimwa ni wengi. Sikutegemea na wewe ..Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
~kwani kwa kuwa ni waziri anaweza kufahamu askari wote mmoja mmoja?....
~ok we differ!
Kwa nini unamtukana?? Hivi kweli ungekuwa uso kwa uso na Waziri Mwigulu ungemtukana hivyo?? Kwa nini usichangie thread kiungwana? Au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard??Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
At the cross roadsMwigulu Kisu kimechoma ktk mfupa akigeuka kulia aliefanyiwa tukio ni best yake kushoto kuna mfalme **** sasa haelewi afanyaje maana kibarua anakipenda na pia anapenda kuishi muda mrefu..
Utakuwa unaumwa unagoma kunywa dawa wewe. Jina lako ama langu ni majina kama mengine. Sina laana niko huru kuliko wewe. Hivi ukisema nina laana ndo tayari inakuwepo?. Haaahaaahaaahaaa, kuwaza siyo sare usitake tuwaze sare wote hiyo itakuwa ajali.Jina lako limenipa sababu ya kukudharau. Laanaa turkadiriiii.
Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Mudawote Mwigulu kakunyima nini tena rafikiKwanini Mwigulu hajatumbuliwa? Naona nayeye ni mzigo tu
Mkuu unatania au upo serious???Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....