Mtamuua dogo kwa presha.Tume ikiundwa usisahau kumhoji shahidi namba 2 _ Harmorappa...yeye atasema kama ile silaa ilikuwa ya kweli au toy
Kwani ya wapi ukila ndio 'huchemki? 'Leo Mshana umechemka sijui umekula maharage ya wapi....
Wasiwas wangu mkuu ukianza kuzitumia zitafutwa sasa watoto wetu watachezea nini? Lastly wanaume wa dar wamenisikitisha wanaogopa toyo! Nafikir kuna haja ya kuzuia chips mayai na browila!![]()
![]()
![]()
![]()
na mimi ntatafuta toy langu
Kwa hiyo ile ilikuwa movie!. Hahaaahaaahaaa!. Daaah kweli hapa bongo unaweza kubadlishiwa mke kanisani arusini na usijue.Mkuu unatania au upo serious???
Kuna harufu ya mtu kuambiwa ni mchocheziii..ngoja nione!!!Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Unatumia toleo gani kwani? Kumbuka infinix sio maarufu hapa wetu hivyo wengi sana wamepigwa na zile fekelo za mvimba macho
Ndo kiongozi wetu huyu hana say tena hata angekuwa kavaaa uniforms angesema hivyoUsiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Kuna vitu kuvitetea inakubidi kushare akili na sizonje. Mkutano uliandaliwa vizuri,RPC akazuia maana yake tayari walishatumwa askari kanzu. Haiwezekan leo mseme so Wa kwenu. Pingu kiunoni ilikuwa ya nini? Ni akili za Albert pekee ndizo zitakazodanganyika
Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Ingekuwa ni hivyo tayari mzee wa media angejitokeza na kusema aliyemtishia nape bastola amekamatwa. Leo siku ya ngapi kimya?Nahisi yule hakua askari kabisa ndio maana alizuiwa na kukamatwa na wale askari