Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,865
- 730,430
Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....