Hivi bado kidogo tu tutambiwa ni mtu asiyejulikana mbona rais amesema habari zake ndiyo zimeandikwa kuliko habari zilizoandakiwa za kwemda bamdarini chezea komedi weweUsiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Aah Kumbe yeye ndio Kumbe hajakamatwa mpaka sasaYule ni Tundu Lisu ndiyo aliyetoa bastola!
Njaa itakuuwaNakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Mchochezi katika ubora wako. Mitishamba hailipi awamu hii!? Umetoka kwenye Uganga mpaka uhaini. Ama kweli uchawi ni tenda.Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Mwigulu naye amefufukia wapi tena!!!!!!.....Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Hivi uhuru ni nini?. Nani anastahili kuwa huru?. Naomba uniambie huyo Mshana jr amevunja sheria ipi endapo kama kweli yy ni mganga. Akikaa na mizizi pori kwake kosa ni lipi mbona wewe kwako unakaa na midawa ya hospitali mezani huulizwi?.Mchochezi katika ubora wako. Mitishamba hailipi awamu hii!? Umetoka kwenye Uganga mpaka uhaini. Ama kweli uchawi ni tenda.
Mtu mzima hovyo Kama shuka za gesti.View attachment 486656Duterte si unafahamu vizuri kazi ya hii kitu? Pls jihudumie buuuree
Wale askar waliokua eneo lile walichukua hatua gani Raia kutoa bastola kwenye umati??Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Jina lako limenipa sababu ya kukudharau. Laanaa turkadiriiii.Hivi uhuru ni nini?. Nani anastahili kuwa huru?. Naomba uniambie huyo Mshana jr amevunja sheria ipi endapo kama kweli yy ni mganga. Akikaa na mizizi pori kwake kosa ni lipi mbona wewe kwako unakaa na midawa ya hospitali mezani huulizwi?.
Uchawi unaujua kweli wewe, yaani wewe ndiye mchawi na mdomo wako. Unachotoa mdomoni kwako ndiyo uchawi, uchawi huenda na manuizi.
Elimu ndogo ndiyo inayofanya uwe hivyo maana hata hicho unachoona unakijua mm nakuona uko mweupe peee. Uhuru wa kujifunza huna.
Another hardcore pointKwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Inashangaza sana MTU anaonekana kabisa anabastola.leo mnajifanya anatafutwa mbona wema manji vitu wanavyofanya chumbani mnaviona kiurahisi. Au mmezoea kupiga chabo vyumbani tu
Walau kupangiwa kazi nyingine.... Nape hakupewa hiyo nafasi aliletwa tu mtu kwenye nafasi yake na yeye hakuambiwa chochote.. Yani as if ile nafasi haikuwa na mtuKwa utawala huu, ukiwa waziri lazima uchague lipi la kusema na jinsi ya kulisema. Ukiamua kufanya kama Nape utaishia "kupangiwa kazi nyingine"!!!
Kama wewe ulivyo bingwa wa Uzandiki mkuu.Kumbe na wewe ni bingwa wa mipasho kwa Bob