Inashangaza sana MTU anaonekana kabisa anabastola.leo mnajifanya anatafutwa mbona wema manji vitu wanavyofanya chumbani mnaviona kiurahisi. Au mmezoea kupiga chabo vyumbani tuyale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Inashangaza sana MTU anaonekana kabisa anabastola.leo mnajifanya anatafutwa mbona wema manji vitu wanavyofanya chumbani mnaviona kiurahisi. Au mmezoea kupiga chabo vyumbani tuyale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Anaweza kuwa sahihi anaweza hasiwe askari akawa ni moja wa mwanajumuiya ya kijitonyanya pale makumbusho, maana wale hawajulikanagi kama ni askari au watumishi wa umma. Ila najua ni sehemu ya mwendelezo wa matukio ili tusahau nia yetu ni nini na tulianza na nani mpaka kufikia hapo.![]()
![]()
maigizo mengine jamani ni hatari sana, Kama ni kweli kitenge naye ahojiwe
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Waziri anajua wapi pa kumpata yule kibudu!zilizobaki ni blah blah!~kwani kwa kuwa ni waziri anaweza kufahamu askari wote mmoja mmoja?....
~ok we differ!
ha ha ha! nakweli mi naona hamna hata haja ya kulijadili hili maana ni season drama! iliyoanzia kwenye unga! huu mtiririko ni shidah..
Hivi lemutuz typo,maana tumemiss vituko na matamkozhata kama wanausalama wetu wanaakili kama le mutuz hawawezi kufanya hicho kitu mkuu
Umeniwahi nilichotaka ku comment, ukimuangalia kwenye mfuko wa tako la kushoto pingu zinaonekana dhahiri.Ha ha haaa.. eti kama askari kweli.. halafu ukiangalia kwa nyuma kwenye lile jeans last kishamba alikua ameweka pingu mfukoni.
Yaani mtu kabeba Bastola na Pingu, na anafanya yale mbele ya watu wa usalama bado unadai eti huna uhakika.
Yote haya chanzo ni Vyeti feki.View attachment 486633
Tume ikiundwa usisahau kumhoji shahidi namba 2 _ Harmorappa...yeye atasema kama ile silaa ilikuwa ya kweli au toyHautapita muda tutasikia imeundwa tume kuchunguza kama kweli alikua ni askari au la,pia kama kweli ile ilikua ni bastola.Kuzaliwa na kuishi Tanzania kuna raha yake
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Mfuko wa nyuma na sio mfuko wa tako😵Umeniwahi nilichotaka ku comment, ukimuangalia kwenye mfuko wa tako la kushoto pingu zinaonekana dhahiri.
Badilisha jina,ni aibu kwa wenye majina yao,na laana kwa kuwa mwanachama wa sodoma na ghomora.Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Sasa hapa umetuhakikishia nini, au hata maana ya kuhakiki kwako ni mzigo?Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Atakua amezoea kukiangalia angalia kijungu cha Bashite bwana huyoMfuko wa nyuma na sio mfuko wa tako😵
