ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
"Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
Rasimu ya warioba huitaki tena!?Kuandika Katiba ya nchi siyo kama kujenga vyoo vya shule za msingi. Eti ipo katika Ilani.
Hawa hawajui wanachokitafutaRasimu ya warioba huitaki tena!?
Kwamba utatekelezwa kama mradi wa kujenga vyoo kule Iramba?Rasimu ya warioba huitaki tena!?
Pumbavu! Samia The Killer angekuwa msikivu tungekuwa tumefika hapa tulipofika?"Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
Kwanini wameshika mawe ???"Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
Kwanini wameshika mawe Hadi sasa ?Hawa hawajui wanachokitafuta
ICChivi mmestuka kuwa sikuhizi viongozi wanaongea kwa staha na tahadhari?
Mchakato wa Katiba ya JMT inakuwa kwenye ilani ya chama?! Isipo tekelezwa ndani ya miaka 5 inahamishiwa kwenye 5 tena!Hawa hawajui wanachokitafuta
Wapo kama kunguru wa darhivi mmestuka kuwa sikuhizi viongozi wanaongea kwa staha na tahadhari?
Hakuna staha wala tahadhari yoyote ninayoisikia kutoka kwao. Inaonyesha umezoea kukaripiwa hata nyumbani kama hii unaona ni staha na tahadhari.hivi mmestuka kuwa sikuhizi viongozi wanaongea kwa staha na tahadhari?
ilani ya qumanyoooko"Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
Hakuna Rasimu ya Warioba iliyo kwenye ilani ya CCM, Hiyo kwenye ilani ni rasimu ya Samia na Kina Bashite.Rasimu ya warioba huitaki tena!?