Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Si kosa lako ni buku 7
 
Naona watu hawataki source ya hii habari. Kweli kuwa mwana CHADEMA ni kama kuwa mfuasi wa Kibwetele.

Unakosea mkuu!!


Kila mtu ana hiari ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini.

Ndio Demokrasia.
 
HaMY-D aka mwinguru chemba la mavi...huyu kilaza ana ID 50 hapa jf.mwinguru ni mwendawazimu hana akili ni shetani.

ujauzito ulio nao utazaa mtoto anafanana na comred mwigulu...shujaa na mkombozi wa wanyonge mkemea ugaidi wa kweli
 
Mwigulu jembe kali, atawakata vidomo na viherehere wote mnaochonga bila kujielewa...arusha inazaliwa upya baada ya kukosea mwaka 2010
 
Arusha zomea ccm zomeaaaa! Arusha zomea lameck madelu zomeaaaa!
Arusha ndio machinjioni kwa ccm. Wanakimbia kuja hapa kujitetea wakati ukweli uko bayana, hata kusomba watu kwa magari pamoja na kugawa posho ili watu wahudhurie mikutano imeshindikana, watu wanavuta mpunga na mkutamoni hawaendi. Hapana chezea Arusha wewe...taumia!
 
Hahaaa kweli mfa maji haachi kutapatapa nimekuwepo mkutano wa ccm leo watu walikuwa ni wengi mnoooo na hakuna vurugu wala zomeazomea yoyote uwongo hautawasaidia endeleeni kufarijiana humu jf ila amini amini nawaambia tarehe 16 mtasaga meno .
vijana machachari mtela na shonza wametoa unyago wakutosha jemedari mwigulu ndo kawamaliza kabisa na wananchi wameelewa maana wamechoshwa na vurugu za chadema na Lema.
Ngoja tumwage mambo hadharani hapa mda si mrefu watanzania wajue ni namna gani mlivyo mabingwa wa uwongo.
CCM gari kubwa utagongwa wewe.
Niliposoma tu kwenye red nikajua nani mwandishi.
 
Back
Top Bottom