Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Habari njema sana hii wana arusha hongereni kwa kumtimua huyo mzinzi na kesho mkikutana nae pigeni mayai viza huyo..
 
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.

Hahaaa kweli mfa maji haachi kutapatapa nimekuwepo mkutano wa ccm leo watu walikuwa ni wengi mnoooo na hakuna vurugu wala zomeazomea yoyote uwongo hautawasaidia endeleeni kufarijiana humu jf ila amini amini nawaambia tarehe 16 mtasaga meno .
vijana machachari mtela na shonza wametoa unyago wakutosha jemedari mwigulu ndo kawamaliza kabisa na wananchi wameelewa maana wamechoshwa na vurugu za chadema na Lema.
Ngoja tumwage mambo hadharani hapa mda si mrefu watanzania wajue ni namna gani mlivyo mabingwa wa uwongo.
CCM gari kubwa utagongwa wewe.
 
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!
Imekuuma eenh!na bado hapo ni trela,vp ushavuta buku7 zako tayar?
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

I seeeeh!!!
 
anatembea na kijana aliyemwagiwa tindikali kule Igunga na kuwaambia wananchi,eti hiyo ndiyo kazi ya CHADEMA,sasa naona ameshachanganyikiwa baada ya video ya Lwakatare kugonga mwamba,kwa sasa sera yake ni akina Mwampamba na kijana waliyemwagia tindikali na kwenda kumtibu India kwa fedha zetu.
 
Hahaaa kweli mfa maji haachi kutapatapa nimekuwepo mkutano wa ccm leo watu walikuwa ni wengi mnoooo na hakuna vurugu wala zomeazomea yoyote uwongo hautawasaidia endeleeni kufarijiana humu jf ila amini amini nawaambia tarehe 16 mtasaga meno .
vijana machachari mtela na shonza wametoa unyago wakutosha jemedari mwigulu ndo kawamaliza kabisa na wananchi wameelewa maana wamechoshwa na vurugu za chadema na Lema.
Ngoja tumwage mambo hadharani hapa mda si mrefu watanzania wajue ni namna gani mlivyo mabingwa wa uwongo.
CCM gari kubwa utagongwa wewe.
tarehe 16 sio mbali, mwigulu atakimbia arusha kama alivyokimbia arumeru!
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa........hi mpya na kali kuliko...Maccm bana
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
Huna hata aibu hivi kwa nini mnatetea matusi ya huyu ---- au ndio ndondocha wa Magamba huyu mtu ana Pumba za ajabu sana na sipati picha wanaomuunga mkono wana akili sawa au ndio mko na akili za maiti.Can u imagine mtu na akili zake anamtembeza yule kinyago wake ambae kalipuliwa na tindikali ya wenzake wa CCm baada ya kutofautiana kimgawo wa pesa sasa leo hii nae anakubali kutembezwa kila kona wakati watu wanafahamu mpango wote ulikuwa wa Mwigulu ambao ndio umesababisha kijina yule kuwa mlemavu hadi mwisho wa maisha yake.Kweli shida ni balaa yaani mtu anakubali kufanywa kaatuni kutembezwa kila kona ya nchi Lol!!Kuna watu wengine wanaweza hata kufanyiwa kale kamchezo ili tu wapate kipato.Poleni sana
 
Mwigulu amesahau ya arumeru, watu wa arusha wanalijua walifanyalo, subirieni jumapili ijayo, wananchi wa kudanganywa labda wa huko iramba! Chezea arusha wewe!
 
Wee kweli PUMBA, yaani wanaokuzomea ndio wapiga kura halafu wewe unasema ni mwiba kwa wapiga kura huku sio kuchanganyikiwa kwako kweli!!? SERUKAMBA MASABURI YAKO WEYE

nimerudia kusoma comment yake mara 2 2 nisielewe kitu!
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Akili yako utakuwa unaikalia
 
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.

Acha lizomewe,halina hata hadhi ya kuwa naibu katibu mkuu,sura ka gogo vile.
 
Naona watu hawataki source ya hii habari. Kweli kuwa mwana CHADEMA ni kama kuwa mfuasi wa Kibwetele.

angalia spelling zako mkuu ni "MFUASI WA KI..WETE. naomba weka herufi sahihi hapo usipindishe maneno.
 
Back
Top Bottom