Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!

Usizomewe we Nan?
 
masikini naona unaota mchana kweupe. hongera sana alinacha
Ukiona umezomewa pindi
upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu
hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na
asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
 
Mkaweti nyie hapo wazomeaji wenye hata hwapg kura. Mshapigishwa viroba afu mnatumwa kama maroboti.
 
Naona watu hawataki source ya hii habari. Kweli kuwa mwana CHADEMA ni kama kuwa mfuasi wa Kibwetele.

Cdm huamini sababu source zake hazikurupuki. Pinga hapo uletewe ushahidi.
 
HaMY-D aka mwinguru chemba la mavi...huyu kilaza ana ID 50 hapa jf.mwinguru ni mwendawazimu hana akili ni shetani.
 
dada Hammy D unajitahidi sana kutetea magamba post zako zote, lakini pole sana kwa kuwa magamba hawana mvuto tena kwa watanzania
 
By HAMY-D
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Wee kweli PUMBA, yaani wanaokuzomea ndio wapiga kura halafu wewe unasema ni mwiba kwa wapiga kura huku sio kuchanganyikiwa kwako kweli!!? SERUKAMBA MASABURI YAKO WEYE


Kamwambie aliyekutuma nyinyiem n kama kimba hata aliyelitoa hulitaki!
 
Ni kushauri ndugu yangu achana na arusha na siku ya uchaguzi uje ukimbie kabisa kutoka hapo arusha kwa sababu kama mtatumia njia zenu zile za kubadilisha ma box ya kura mtaishia kuiingiza arusha kwenye matatizo ww binafsi huna uwezo wa kupiga kampeni arusha na ukashinda na hata kimtizamo uwezi tueleza kuwa mmeshinda arusha akuna kitu kama hicho usitudanganye kabisa.

Mkuu mwambie ukweli huyo kilaza mwinguru maana yeye anategemea kuwa watashinda kwa kuiba kura then waingize arusha kwenye vurugu alafu wasingizie chadema.mwinguru hana ushawishi kwa arusha, hana mvuto hata kwenye hotuba zake....mwinguru ni tatizo kubwa kwa taifa.eti na yeye anajihesabu ni mbunge ama kweli tumekosa wabunge.
 
Hivi, huu upuuzi wa vijana kupost uongo humu JF, Utaisha lini? Mimi leo nilikuwa Arusha. Mwigulu amepiga mkutano fresh mwanzo mpaka mwisho na hakuzomewa. Hii faraja mnayotafuta mitandaoni, maradhi yatakuja waumbua kifo chenu kikifika. Shame on you.
hata me nilikuwepo kwenye huo mkutano, kusema kweli amezomewa na imetokea vurugu, hata ukificha dada tv zitatuumbua tu, ni bora tuwe wakweli
 
Siku hizi Mtela amekuwa personal secretary wa Mwigulu! Aibu tupu. Imagine bosi wake (Nchemba) alivyobrainwash, secretary atakuwaje?
Mbona lipo wazi kabisa kwamba Mtela ndiyo personal secretary wa Mwigulu na Juliana Shonza. Huoni kila siku lazima aweka post facebook na JF kuwasifia hao mabosi wake? Na inafahamika wazi kwamba Mtela uwezo wake upstair ni wa kubabaisha.
 
Acha propaganda za kiboyaa nani kazomea mbona unatuletea uzuzu hapa. Hivyo viroba na bangi mnazovutishwa zinawafanya mnakurupuka na uzushi wenu, kuweni wakweli. Vima nyie.
 
Unamaana ya kuwa watanzania wengi ni mazezeta, mbona unakosa heshima, kuna sehemu nyingi huyu bwana anakubalika, na sidhani wananchi wa hizo sehemu ni kama usemavyo.
ukiona anakubalika ujue ni kugawa chumvi, vitisho na hata virushwa. Watu makini hata ndani ya ccm humpuuza mwigulu!
 
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!

Kama mtu ana haki ya kushangiliwa akifanya vizuri, pia ana haki ya kuzomewa akifanya vibaya
 
Back
Top Bottom