Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
Yaani the way unvyojenga hoja.
Yaani mtu mwenye Taahira ya akili ama Mlemavu wa Ubongo ndo anaweza ku argue in the way you used to do.
I am afraid...
 
Ni haki yake haswaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nadhan hakuna haja ya kudil na outcomez zinazompata huyu jamaa kutokana na ujinga anaendelea kuufanya cha msingi ni kuhakikisha huyu bwana anaoendelea kufanya ujinga wake pale wapambanaji tunapofanyia kaz facts zenye manufaa kwa umma wa watanzania wanyonge.
Nikweli kabisa
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

usimdanganye mwenzio nenda wewe, mshalifanya boya sio!
 
Asante kama ni kweli. Ila niwaombe wakaazi wa Arusha kuonesha kwa vitendo chuki zao dhidi ya CCM na Mwigulu kwenye sanduku la kura.

Hapo ndipo mtakuwa mmeitendea haki Tanzania, Arusha na nafsi zenu (by kick CCM OUT of power at any given chance!)
 
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!

Mkuu ni vyema ukashirikisha ubongo wako kufikiri badala ya kutumia tumbo; Ati CHADEMA imezidiwa.......................ndugu subiri vipimo kwenye mabox ya kupigia kura.
 
Ilikuwaje wana CHADEMA wakavutiwa kwenda kumsikiliza kada wa CCM halafu wakawa dissapointed, hawakuwa na kingine cha kufanya mida hiyo?
 
Sioni haja ya kumzomea, ni kumwacha abwabwaje tu akichoka ataondoka na ziro ya kura
 
Ilikuwaje wana CHADEMA wakavutiwa kwenda kumsikiliza kada wa CCM halafu wakawa dissapointed, hawakuwa na kingine cha kufanya mida hiyo?

Ndadhani walikuwa wananchi wasiowanachadema waliokuwa na nia njema ya kusikiliza sera za CCM katika kata yao na Nchemba atakuwa aliwaudhi kwa kukosa ethics kwa tabia yake ya kusema maneno ya hovyo bila soni.
 
Akome, alifikiri hapa ni kule kwa MAZEZETA wake

Unamaana ya kuwa watanzania wengi ni mazezeta, mbona unakosa heshima, kuna sehemu nyingi huyu bwana anakubalika, na sidhani wananchi wa hizo sehemu ni kama usemavyo.
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
Mwambie Lipumba aende akaoneshe jinsi alivyo mwiba kwa hao watu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu unazungumzia mkutano upi mbona nikuwepo hali hii sijaiona au nililala nashangaa kuona hii post au siasa siku hizi zimekuweje labda sikuwa makini ila sijaiona hii hali mimi napata shida sana juu ya hili,kweli tumefika huko kuongopa kiasai hiki.
 
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.
Mkuu nisaidie hali hii imetokeo saangapi mimi sijaona nisaidie mkuu tupanuane mawazo.
 
Ndadhani walikuwa wananchi wasiowanachadema waliokuwa na nia njema ya kusikiliza sera za CCM katika kata yao na Nchemba atakuwa aliwaudhi kwa kukosa ethics kwa tabia yake ya kusema maneno ya hovyo bila soni.
Kwa hiyo mvuto wa Nchemba anaenda mbali zaidi ya wakereketwa wa CCM peke yake?
 
Back
Top Bottom