Naona watu hawataki source ya hii habari. Kweli kuwa mwana CHADEMA ni kama kuwa mfuasi wa Kibwetele.
Akili zilizo
BINAFSISHWA zina shida kweli. Mwenyekiti wako anashindwa kukaa vizuri magogoni kwa kuiwazia CHADEMA. Wewe mpiga lapa na muambulia T-shirt na kofia unatoa kauli kwa kutumia makalio.
Hivi ingekuwa CHADEMA ni Kibwetere, Wabunge wa MAGAMBA wange sahau wajibu wao wa kuihoji serikali Bungeni na kuwa kitu kimoja na Mawaziri (ambao sasa ni kama wapo likizo bungeni. Kazi zote za kujibu hoja wamekabidhiwa Wabunge wa MAGAMBA)?
Wabunge wa MAGAMBA wameshindwa kuwatetea Wananchi, wamejikita kutetea udhaifu wa serikali. Inapo fikia kila anayeikosoa serikali basi ni adui wa Wabunge wa MAGAMBA hapo ujue hamna kitu.
Hebu angalia hii:
1. CHADEMA inapambana na Wabunge wa MAGAMBA
2. CHADEMA inapambana na Mawaziri wa serikali ya CCM
3. CHADEMA inapambana na na SPIKA
4. CHADEMA inapambana na NAIBU SPIKA
5. CHADEMA inapambana na WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE
6. CHADEMA inapambana na POLICCM
7. CHADEMA inapambana na WAKUU WA MIKOA
8. CHADEMA inapambana na WAKUU WA WILAYA
9. CHADEMA inapambana na WATENDAJI KATA
10. CHADEMA inapambana na WATENDAJI WA VIJIJI
11. CHADEMA inapambana na WALE JAMAA WALIOMTUMBUKIZA MWENZAO KWENYE KISIMA CHA MAJI
12. CHADEMA inapambana na ....................