VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Atarukaruka pote lakini hapa atatoka kapa.Mimi si wa kutetereshwa na watu wa aina ya Mwiguluhata wewe kama ni mwana-CCM tayari ameshakupoza....
Ni kweli Mkuu. Mimi nimejitwika suala hilo. Tupo pamoja kuelekea kupata demokrasia ya kweli ya vyama vingi TanzaniaVUTA NKUVUTE, Mzee Tupa tupa
Tabia za ukweli zinajulikana. Mwalimu Nyerere alipenda kuzisema chache. Yote yafanyikayo sasa yatapata hesabu zake. Bahati nzuri ni kwamba hata wale watu waliokuwa wanaamini kuwa "huu ni mtego wa CHADEMA", sasa wameshaona dhahiri kuwa huu ni "mtego wa wote".
Kwa sababu tunaelekea kunaswa wote kama taifa katika mtego wa siasa za chuki, hila, ukatili, ujambazi na mauaji.
Ni wajibu wetu sote kuutegua mtego huu.
za kuambiwa changanya na zako-by kikwetePeleka ujinga wako huko. Mwigulu amewashika sehemu mbaya na bado
Atarukaruka pote lakini hapa atatoka kapa.Mimi si wa kutetereshwa na watu wa aina ya Mwigulu
Peleka ujinga wako huko. Mwigulu amewashika sehemu mbaya na bado
Peleka ujinga wako huko. Mwigulu amewashika sehemu mbaya na bado
Amshike nani, labda kama unatumia ma------ kufikiri lakini ukweli upo wazi.Peleka ujinga wako huko. Mwigulu amewashika sehemu mbaya na bado
Mkuu mbona jina lako matusi nani alikupa hilo jina,kwa nafasi yako ni aibu kuhangaika na watu kama july wadogo sana.VUTA NKUVUTE, Mzee Tupa tupa