Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
hz porojo peleka huko kwa wanawake wenzio
mkuu kumbuka hata mama yako pia ni mwanamke...so usuwadharau sana wamama. waambie mabwana zako wa lumumba wakufundishe uachane na fikra za kibaguzi.
hz porojo peleka huko kwa wanawake wenzio
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba ni mwanasiasa wa ajabu sana. Hajali. Hasikii.Haelewi. Anachojali yeye ni kujijenga(pia kujibomoa) katika siasa.Anataka kuaminika kama dawa pekee ya kuwadhibiti CHADEMA kati ya makada wote wa CCM.
Ndiyo maana anafanya anayoyafanya. Mwigulu Nchemba anaamini kuwa anaungwa mkono na Mwenyekiti wa chama pamoja na viongozi wengine waandamizi wa CCM Taifa. Ndiyo maana anaweza hata kubuni 'mijivazi' yake hata inayokwenda kinyume na sare rasmi za chama.Anaweza asiwe sahihi.Aweza kuwa anapotoka. Mwigulu amelewa sifa. Anapepesuka. Kwa wasio makini kisiasa na wanaomtii Mwigulu Nchemba kwa kila alisemalo wataponzeka.
Watasawajika kisiasa na kichama. Jana tu, kijana Mtela Mwampamba ameingia mkenge wa Mwigulu.Amekurupuka na habari za kizushi kuwa eti Mgombea wa Udiwani wa Elerai wa CHADEMA amejiunga CCM. Sasa kijana Mtela Mwampamba HAAMINIKI TENA. Hapa JF ameshapata 'zawadi' yake.
Bado chamani.Bado uraiani.Bado maishani. Bado akilini mwake. Bado atakavyomuona kivingine Mwigulu Nchemba. Bado. Ni wakati sasa wanachama wenzangu wa CCM kuchuja kila kauli na vitendo vya viongozi wetu kama Mwigulu Nchemba ili tuwe huru.Tuwe makini. Kama tunamtegemea Mwigulu Nchemba na siasa zake za aina hii ionekanayo,hatutakuwa makini. Tutakimbiwa.
Siasa iwe ni hoja na si vihoja. Vinginevyo, Mwigulu Nchemba ataponza wengi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mwampamba amekuwa robot la mwigulu. Anaamriwa afanye ki2 fulani naye anafanya kweli,nahisi hata 0713 akiambiwa na mwigulu atakuwa tayari kumegea angalau mini kabang
umejibu usichoelewa ama umeelewa ambacho hakiongelewi.. poleeeeeNi kweli Mkuu. Mimi nimejitwika suala hilo. Tupo pamoja kuelekea kupata demokrasia ya kweli ya vyama vingi Tanzania
Mwampamba amekuwa robot la mwigulu. Anaamriwa afanye ki2 fulani naye anafanya kweli,nahisi hata 0713 akiambiwa na mwigulu atakuwa tayari kumegea angalau mini kabang
Mw, ug uli unatisha kaka mimi nakuita live kwa jina lako coz unakimbiza mbaya, CCM tunakukubali moto huo huo kaka, na tutakupa ukatibu kabisa wa chama chetu soon, ila najiuliza hapo top tupafanyeje maana wewe ni mtu wa Lowa hasa, naPe yeye ni kundi kuvua gamba mzee wa mapengo/Mangule kanywea nywiiiiiiii, mwakani si utatuua wenzako tusipomsapoti Mfadhili wako Lowa ashaWewe endelea kuwaokota wajinga wenzako kwa uwongo na uzandiki ukijifanya kada wa CCM makao makuu wakati hata ofisi zake huzifahamu achilia mbali kuwa mwanachama wa CCM.
Sheria za JF haziruhu name calling lakini tunakufahamu vizuri sana.
CCM umewabana mpaka mnatengeneza ID na kujifanya makada wa CCM katika mwendelezo wa siasa zenu za KILAGHAI kwa watanzania.
Kuonyesha ni kiasi gani mlivyo walaghai, unaweka thread halafu viongozi wako wanaanza kuchangia.
Kama Mwigulu anaiumiza CCM huoni kama ni neema kwa chama chako CHADEMA.
Kwa sasa mnapanga foleni kuleta thread JF kuhusu makada wa CCM kuonyesha ni jinsi gani tunavyowabana kisiasa.
Mtaandika sana kuhusu Mwigulu.
It's only 2013.
sawasawa hivi social kuna cdm?
sawasawa hivi social kuna cdm?
Sasa na Nchemba kapata ban!Sisi wengine wavivu wa kusoma sheria, kama umeponzwa na mtu ban kwa nini msipewe wote? Kama ni kweli Mtela haitendei haki Elimu yake na hakitendei haki chuo chake na fani yake kwa ujumla