Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
We kifaranga kumbe upo za siku vpi,mbona unapata shida sana na mwigulu.Amshike nani, labda kama unatumia ma------ kufikiri lakini ukweli upo wazi.
We kifaranga kumbe upo za siku vpi,mbona unapata shida sana na mwigulu.Amshike nani, labda kama unatumia ma------ kufikiri lakini ukweli upo wazi.
Atarukaruka pote lakini hapa atatoka kapa.Mimi si wa kutetereshwa na watu wa aina ya Mwigulu
We kifaranga kumbe upo za siku vpi,mbona unapata shida sana na mwigulu.
Mkuu unajitekenya na kucheka wewe mwenyewe unachokisema ni maoni yako si ya watu wote.Kijana ambaye kazaliwa baada ya mwaka 1977, haijui CCM na katu hawezi kuijua CCM. Kijana mwenye umri wa miaka chini ya 36 kama anaishabikia CCM haelewi na katu hawezi kuelewa anachoshabikia, hajui kwamba hajui. Kijana ambaye kapata ukombozi wa kifikra na kuijua CCM, lazima ataasi na kuipa CCM mgongo. Ni bahati ilioje kwa taifa kwamba namba ya vijana hawa wanaoamka kutoka usingizi mzito inaongezeka siku hadi siku! Hakika ukombozi unakaribia.
Hahaha hahaha hahaha hahahaMwampamba amekuwa robot la mwigulu. Anaamriwa afanye ki2 fulani naye anafanya kweli,nahisi hata 0713 akiambiwa na mwigulu atakuwa tayari kumegea angalau mini kabang
Ni kweli Mkuu. Mimi nimejitwika suala hilo. Tupo pamoja kuelekea kupata demokrasia ya kweli ya vyama vingi Tanzania
Mwigulu hamna alipokosea ila chadema kawabana sana ndiyo maana wanamuona ni thread na walishapewa maagizo toka viongozi wao kuwa lazima wahakikishe mwigulu anachafuka.Mzee Tupa Tupa, naamini wewe una imani sana na Mwenyekiti wako Taifa. Je ni kweli hayajuhi afanyayo Mwingulu? na Kama haya bariki kweli anashindwa kumkemea Mwingulu au yeye anaona ndo kujenga chama?
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba ni mwanasiasa wa ajabu sana. Hajali. Hasikii.Haelewi. Anachojali yeye ni kujijenga(pia kujibomoa) katika siasa.Anataka kuaminika kama dawa pekee ya kuwadhibiti CHADEMA kati ya makada wote wa CCM.
Ndiyo maana anafanya anayoyafanya. Mwigulu Nchemba anaamini kuwa anaungwa mkono na Mwenyekiti wa chama pamoja na viongozi wengine waandamizi wa CCM Taifa. Ndiyo maana anaweza hata kubuni 'mijivazi' yake hata inayokwenda kinyume na sare rasmi za chama.Anaweza asiwe sahihi.Aweza kuwa anapotoka. Mwigulu amelewa sifa. Anapepesuka. Kwa wasio makini kisiasa na wanaomtii Mwigulu Nchemba kwa kila alisemalo wataponzeka.
Watasawajika kisiasa na kichama. Jana tu, kijana Mtela Mwampamba ameingia mkenge wa Mwigulu.Amekurupuka na habari za kizushi kuwa eti Mgombea wa Udiwani wa Elerai wa CHADEMA amejiunga CCM. Sasa kijana Mtela Mwampamba HAAMINIKI TENA. Hapa JF ameshapata 'zawadi' yake.
Bado chamani.Bado uraiani.Bado maishani. Bado akilini mwake. Bado atakavyomuona kivingine Mwigulu Nchemba. Bado. Ni wakati sasa wanachama wenzangu wa CCM kuchuja kila kauli na vitendo vya viongozi wetu kama Mwigulu Nchemba ili tuwe huru.Tuwe makini. Kama tunamtegemea Mwigulu Nchemba na siasa zake za aina hii ionekanayo,hatutakuwa makini. Tutakimbiwa.
Siasa iwe ni hoja na si vihoja. Vinginevyo, Mwigulu Nchemba ataponza wengi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tanzania inwatu wa tofauti sana.VUTA NKUVUTE, Mzee Tupa tupa
Tabia za ukweli zinajulikana. Mwalimu Nyerere alipenda kuzisema chache. Yote yafanyikayo sasa yatapata hesabu zake. Bahati nzuri ni kwamba hata wale watu waliokuwa wanaamini kuwa "huu ni mtego wa CHADEMA", sasa wameshaona dhahiri kuwa huu ni "mtego wa wote".
Kwa sababu tunaelekea kunaswa wote kama taifa katika mtego wa siasa za chuki, hila, ukatili, ujambazi na mauaji.
Ni wajibu wetu sote kuutegua mtego huu.
Mtu mzima unateswa na kijana mdogo kama mwammpamba kunaja gani ya kuwa mtu mzima sasa.Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba ni mwanasiasa wa ajabu sana. Hajali. Hasikii.Haelewi. Anachojali yeye ni kujijenga(pia kujibomoa) katika siasa.Anataka kuaminika kama dawa pekee ya kuwadhibiti CHADEMA kati ya makada wote wa CCM.
Ndiyo maana anafanya anayoyafanya. Mwigulu Nchemba anaamini kuwa anaungwa mkono na Mwenyekiti wa chama pamoja na viongozi wengine waandamizi wa CCM Taifa. Ndiyo maana anaweza hata kubuni 'mijivazi' yake hata inayokwenda kinyume na sare rasmi za chama.Anaweza asiwe sahihi.Aweza kuwa anapotoka. Mwigulu amelewa sifa. Anapepesuka. Kwa wasio makini kisiasa na wanaomtii Mwigulu Nchemba kwa kila alisemalo wataponzeka.
Watasawajika kisiasa na kichama. Jana tu, kijana Mtela Mwampamba ameingia mkenge wa Mwigulu.Amekurupuka na habari za kizushi kuwa eti Mgombea wa Udiwani wa Elerai wa CHADEMA amejiunga CCM. Sasa kijana Mtela Mwampamba HAAMINIKI TENA. Hapa JF ameshapata 'zawadi' yake.
Bado chamani.Bado uraiani.Bado maishani. Bado akilini mwake. Bado atakavyomuona kivingine Mwigulu Nchemba. Bado. Ni wakati sasa wanachama wenzangu wa CCM kuchuja kila kauli na vitendo vya viongozi wetu kama Mwigulu Nchemba ili tuwe huru.Tuwe makini. Kama tunamtegemea Mwigulu Nchemba na siasa zake za aina hii ionekanayo,hatutakuwa makini. Tutakimbiwa.
Siasa iwe ni hoja na si vihoja. Vinginevyo, Mwigulu Nchemba ataponza wengi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mtu mzima unateswa na kijana mdogo kama mwammpamba kunaja gani ya kuwa mtu mzima sasa.
We kifaranga kumbe upo za siku vpi,mbona unapata shida sana na mwigulu.
Tanzania inwatu wa tofauti sana.
Mkuu naona umeamua kumpa ukweli jamaa akome umbea wake,sijawahi ona mtu mmbea kama huyu vuta-nkuvute.hivi mkuu ww ni jinsia ya ke au me? Mana inaonekana unampenda sana mwigulu kama ni ke akuoe. Ktk thred yako umemtaja mara 8. Angalia usijekuwa umelala huku unamuota ukamtaja kwa sauti utavunja ndoa,, mumeo atakuuliza huyo mwigulu ndio nani hutakuwa na jibu la maana.
Ntakuchapa mda siyo mrefu ndiyo maana.........Kama wewe!!!!