Mwigulu atawaponza wengi!

Mwigulu atawaponza wengi!

Sasa unafikiri nilienda wapi?? Mbwembwe nyingi kumbe mtu wa buku saba, boss wako anakuita Lumumba.
Mkuu umeanza kunichokoza kwani umezaliwa kwenye mtaro wa maji machafu au ulitanguliza miguu kuzaliwa ukamkanyaga mama weeeeeeeeeeee ndiyo ukatoka,lumumba mimi naiona humu jf hata siijui,karibu kwetu mkoa mpya simiyu tukutafutie na gayanda gagutole.
 
NCHEMBA NI PANDIKIZI LA CHADEMA kuiua CCM!
 
Ni kweli Mkuu. Mimi nimejitwika suala hilo. Tupo pamoja kuelekea kupata demokrasia ya kweli ya vyama vingi Tanzania

Hilo ndio la Msingi! Wanasiasa wote wakijikita katika hoja wale wababaishaji watakosa cha kuzungumza! Aina hiyo ya wanasiasa wao wanajua ''Domoghasia'' tuu!!!@ VUTA-NKUVUTE
 
Mwigulu hamna alipokosea ila chadema kawabana sana ndiyo maana wanamuona ni thread na walishapewa maagizo toka viongozi wao kuwa lazima wahakikishe mwigulu anachafuka.
Madhara ya kukimbia shule na kutumikia buku sabsaba ndio hayo, yaani unashindwa hata kujuwa threat na thread ni vitu viwili tofauti kabisa.:disapointed::disapointed:
 
Wewe endelea kuwaokota wajinga wenzako kwa uwongo na uzandiki ukijifanya kada wa CCM makao makuu wakati hata ofisi zake huzifahamu achilia mbali kuwa mwanachama wa CCM.

Sheria za JF haziruhu name calling lakini tunakufahamu vizuri sana.

CCM umewabana mpaka mnatengeneza ID na kujifanya makada wa CCM katika mwendelezo wa siasa zenu za KILAGHAI kwa watanzania.

Kuonyesha ni kiasi gani mlivyo walaghai, unaweka thread halafu viongozi wako wanaanza kuchangia.

Kama Mwigulu anaiumiza CCM huoni kama ni neema kwa chama chako CHADEMA.

Kwa sasa mnapanga foleni kuleta thread JF kuhusu makada wa CCM kuonyesha ni jinsi gani tunavyowabana kisiasa.

Mtaandika sana kuhusu Mwigulu.

It's only 2013.
 
Mwampamba amekuwa robot la mwigulu. Anaamriwa afanye ki2 fulani naye anafanya kweli,nahisi hata 0713 akiambiwa na mwigulu atakuwa tayari kumegea angalau mini kabang

dah UMENICHEKESHA SANA MKUU!!!!!!!! MBAVU ZINATAKA KUTOKA!!!!!!!
 
CCM wanamtumia Mwigulu kama Kondomu tu!! Kazi ya kondomu ikiisha hutupwa jalalani. Ndicho kitakachomtokea Mwigulu baada ya utawala wa Kikwete kuisha. Hapo ndipo atakapolia na kusaga meno!!!
 
hivi mwampamba anachukuaga zile buku 7 za lumumba au ana package tofauti...yaani analipwa kama pro??
 
Atarukaruka pote lakini hapa atatoka kapa.Mimi si wa kutetereshwa na watu wa aina ya Mwigulu

Labda turejee kwanza nini maana ya Kuponza/Kuponzwa?
Kwa sababu ya Mwigulu, watu wengi zaidi wamekichukia Chama Cha Mwigulu (C.C.M).
Wewe kama mwana-CCM kwa namna moja au nyingine Chuki dhidi ya Chama chako zitakuathiri/zimekuathiri.
Kwa Mfano, kauli yako ya kutokuwa tayari kwenda Arusha kunadi sera za Chama chako ni matokeo ya Uoga uliochangiwa na Chuki dhidi ya Chama Cha Mwigulu (C.C.M) ambacho kimsingi ndiyo Chama chako Pendwa...

 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni CCM kilikuwa Chama makini sana nilikiamini lakini sasa hivi sina hamu nacho kwasababu maamuzi yanayotolewa siku hizi ni ya mtu binafsi zaidi kuliko kuwa ya kichama zaidi. Mwigulu amejenga makundi hatari ndani ya chama chake. Wengi hawasemi chochote kwa kuwa wanaona Mh Rais amemwamini zaidi Mwigulu kuliko wengine. CCM sasa ni mali ya Mwigulu na Kikwete wake.
 
Kijana ambaye kazaliwa baada ya mwaka 1977, haijui CCM na katu hawezi kuijua CCM. Kijana mwenye umri wa miaka chini ya 36 kama anaishabikia CCM haelewi na katu hawezi kuelewa anachoshabikia, hajui kwamba hajui. Kijana ambaye kapata ukombozi wa kifikra na kuijua CCM, lazima ataasi na kuipa CCM mgongo. Ni bahati ilioje kwa taifa kwamba namba ya vijana hawa wanaoamka kutoka usingizi mzito inaongezeka siku hadi siku! Hakika ukombozi unakaribia.

Umesema ukweli mkuu !
 
Peleka ujinga wako huko. Mwigulu amewashika sehemu mbaya na bado

kweli kawashika ccm vibaya huyu mwigulu, leo kaibuka eti mhandisi mpinga, yule mgombea wa udiwani wa cdm kata ya elerai alimualika yeye nyumbani kwake kwa kuwa wanatoka kijiji kimoja iramba na walikuwa kwenye mazungumzo ya kawaida na hakuzungumza naye kuhusu yeye kuhamia ccm apewe u-dc.
Huku juzi yule msaliti mwampamba aliitaarifu jamii ya watanzania kuwa jembe lao mwigulu limefanikiwa kumnasa mgombea mpinga wa CDM na amekubali kuhamia ccm, aliendelea kusema kuwa wanaanda mkutano ili mpinga azungumze. Uchizi wa maccm sasa umekia kiwango cha juu kabisa katika dunia hii.
 
Mwigilu - Mwanasiasa makini hutumia diplomasia kupenyeza hoja zake - lakini mwe mwenzetu unatumia mabavu, fitna, hongo, rushwa -- kwa mtindo huu hufiki mbali kisiasa yaani siku JK anapoachia uwenyekiti tu na wewe ujue mwisho wa majigambo yako ndani ya ccm yatakuwa yameishia hapo, CCM ina wenyewe na wametulia tuli wanakuangalia tu unavyotamba kwa sasa.
 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba ni mwanasiasa wa ajabu sana. Hajali. Hasikii.Haelewi. Anachojali yeye ni kujijenga(pia kujibomoa) katika siasa.Anataka kuaminika kama dawa pekee ya kuwadhibiti CHADEMA kati ya makada wote wa CCM.

Ndiyo maana anafanya anayoyafanya. Mwigulu Nchemba anaamini kuwa anaungwa mkono na Mwenyekiti wa chama pamoja na viongozi wengine waandamizi wa CCM Taifa. Ndiyo maana anaweza hata kubuni 'mijivazi' yake hata inayokwenda kinyume na sare rasmi za chama.Anaweza asiwe sahihi.Aweza kuwa anapotoka. Mwigulu amelewa sifa. Anapepesuka. Kwa wasio makini kisiasa na wanaomtii Mwigulu Nchemba kwa kila alisemalo wataponzeka.

Watasawajika kisiasa na kichama. Jana tu, kijana Mtela Mwampamba ameingia mkenge wa Mwigulu.Amekurupuka na habari za kizushi kuwa eti Mgombea wa Udiwani wa Elerai wa CHADEMA amejiunga CCM. Sasa kijana Mtela Mwampamba HAAMINIKI TENA. Hapa JF ameshapata 'zawadi' yake.

Bado chamani.Bado uraiani.Bado maishani. Bado akilini mwake. Bado atakavyomuona kivingine Mwigulu Nchemba. Bado. Ni wakati sasa wanachama wenzangu wa CCM kuchuja kila kauli na vitendo vya viongozi wetu kama Mwigulu Nchemba ili tuwe huru.Tuwe makini. Kama tunamtegemea Mwigulu Nchemba na siasa zake za aina hii ionekanayo,hatutakuwa makini. Tutakimbiwa.

Siasa iwe ni hoja na si vihoja. Vinginevyo, Mwigulu Nchemba ataponza wengi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Anatumikia kafiri (yule mlipa visasi wa kuleeeeeee kanda ya kaskazini) apate mradi wake. Lol
 
Nampongeza sana mwigulu jinsi anavyowachana hawa wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu, wapanga mauwaji na wahubiri vita.. Go on mwigulu watanzania tupo nyuma yako

buk7.mmpumbavu wewe.....
 
Back
Top Bottom