Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Very shallow and poor thinking! Hivi nani anashindwa kuvalisha mbwa au nguruwe bendera au nembo ya chama au taasisi yoyote pinzani. Kama ingekuwa na tija unadhani Chadema wanashindwa kufanya hivyo hata kwa mbwa au nguruwe elfu moja kwa siku wakitaka kwenye mikutano yao inayoendelea kila kona ya nchi na kushuhudiwa na maelfu ya wananchi? Unadhani kwanini hawafanyi hivyo? Huo muda wa kukaa chini na mbwa, "kumbembeleza" na kumvalisha nguo watautoa wapi? Wana majukumu mazito kuliko low-level kama hizi.

Kama anadhani amepatia, hii itammaliza. Usirudie tena kutoa poor argument kama hii.

tatizo hapa sio poor argument aliyotoa ila ni Thinking capacity yake ndo dogo sana!
 
Eti ana masters, kumbe usomi sometimes unaharibu akili, hivi mwenye master anaweza kutengeza upuuzi kama huu, huyu jamaa ni hamnazo elimu aliyopata haijamkomboa kifikira.
 
Kumbe mbwa wa mWIGULU ana akili kuliko mWIGULU mwenyewe na hata kutambua kuwa ukombozi wa nchi hii uko kwa chadema. Nadhani huyu mbwa anapaswa kuwe yeye ni bosi wa mMWIGULU. Nimeanza kwa herufu ndogo hilo jina huyu jamaa kwani nimetambua kuwa yeye ni kiumbe dhaifu.
 
Mwigulu anazidi kuthibitisha tuhuma zinachopewa chama chake, kama kiongozi, mshauri na mpigadebe muhimu wa CCM anaweza kufanya tendo la namna hii ambalo halina msaada wowote katika kukijenga chama chake, je si kweli kuwa yanayosemwa dhidi ya mbinu chafu zinazoandaliwa kuvuruga amani kwenye vikao vya CDM ni ya kweli?

Pole sana CCM, kama manaodha wanaiogopa bahari, jahazi lenu litafika salama liendako?
 
Mwiguru amepata Laaaaaaaaaaaana toka Igunga Tabora alikofumwa na m................... baaadaye jimbo hilo limewekwa chini ya mateka tena tunamuomba tena arudi huko akaungame dhambi yake hiyo la sivyo ataendelea kufanya vimbwanga vya ajabu mtu mwenye heshiam ya Kibunge kumkamata Mbwa na kumvalisha bendera inaonyesha alivyo KICHAA vituko vingi alivyo fanya bungeni wtz ni mashuhuda, wapenda maendeleo tuachane na kichaaaaaaaaaaaaaaaa wa Singida watajilaumu wenyewe watu wa huko kwa kumchagua mtu ambaye hajakamilika akili.
 

How do we prove kama kweli ni yeye? Mbona hiyo picha haionyeshi akiwa amemshika huyo mbwa to prove kuwa it is him? However, if he trully did that atakua insane, muacheni kama alivyo! Kichaa akiiba nguo zako akakimbia nazo na ww ukimkimbiza uchi utaonekana na wewe kichaa. The best thing ni kumuacha kama alivyo. Anatapatapa mwisho wa C.C.M unakaribia ndo maana anafanya madudu.
 
Hakuna sababu yoyte ya kubishana na hilo punga mwiguulu!
 
Huyu mtu anatudhalilisha sana jamani ila dawa yake inatokota ....mngese sana!
 
How do we prove kama kweli ni yeye? Mbona hiyo picha haionyeshi akiwa amemshika huyo mbwa to prove kuwa it is him? However, if he trully did that atakua insane, muacheni kama alivyo! Kichaa akiiba nguo zako akakimbia nazo na ww ukimkimbiza uchi utaonekana na wewe kichaa. The best thing ni kumuacha kama alivyo. Anatapatapa mwisho wa C.C.M unakaribia ndo maana anafanya madudu.

Kuna video hapo juu inaonyesha ni nani waliomvalisha mbwa bendera. Kitendo hakijafanywa na Mwigulu ila kwa sababu katika waliokuwepo yeye ndio "maarufu" ndio maana thread imechukua jina lake. Bila kuweka jina la Mwigulu thread isingeuza.
 
Dawa yake inatokota,jimbo atalisikia na atakuwa mbunge wa term moja tu na hatarudi tena mjengoni,asante yake ya EPA itaishia 2015 June.
Atamfuata dalali kafumu sasa hivi, asifikiri wananchi wote wa Iramba wanaichukia CHADEMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom