Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Soma ibara ya 16 moja na mbili katiba JMT 1977. PiA ibara ya 12 katiba hiyohiyo.
Soma pia 33-34. Sasa cheza.
 
Hakuna kosa.tukio la mwaka jana mngeshaandama mpate huruma ya wananchi. Hata mpirani watu wanapitisha majeneza. Mbona kule mwanza CDM mlipeleke jeneza lenye bendera ya ccm kwao masha.
Hakuna kesi hapo. Ww tafuta mbwa valisha bendera ya ccm. Mtan wa jadi unalia nini? Komaa
Hebu anza wewe kumvisha ya kijani
 
Sasa kikwete kakufanya nini hapo aubunachuki nae tu' sasa jaribu uone utaozea jela na watu wakuruke kwamba hawakujui usifate mkumbo kijana dunia hii, chezea wanasiasa wewe, usiwe mnazi saaana ukasahau na umasikini , utarukwa jasho likutoke
 
nimekubali rasimi MWIGULU ni "janga kuu la zawa"::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: kiongozi wa chama cha siasa tena chama tawala unatenda haya kweli kabisaa!!!!!!!!!!!!???????????
 
Tena weka ile iliyosababisha ze utamu ikafungiwa
kabla ya kuweka tafakari alichofanyiwa yule jamaa we utakiweza? Usiige kun.ya kwa Tembo shauri yako!! Mi naku like ndo mana nakutahadharisha mwenzio alizamishwa Chupa ya Konyagi utaimudu mpendwa wangu?
 
Sasa kikwete kakufanya nini hapo aubunachuki nae tu' sasa jaribu uone utaozea jela na watu wakuruke kwamba hawakujui usifate mkumbo kijana dunia hii, chezea wanasiasa wewe, usiwe mnazi saaana ukasahau na umasikini , utarukwa jasho likutoke
kweli kabisa hakufikia levo ya 'uchamungu' wa Ludovick lakini miungu imemkana seuze huyo!
 
Update kutoka facebook:-
Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba"
attachment.php


wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
attachment.php

[video=youtube_share;lZerEan2SZ4]http://youtu.be/lZerEan2SZ4[/video]

attachment.php



[video=youtube_share;Pm900e4TFc c]http://youtu.be/Pm900e4TFcc[/video]

View attachment 62326View attachment 62329View attachment 62350

Masikini hawa jamaa hawajui walitendalo, wamezubaa na kuchoka hadi mioyoni mwao. Ni Kama walionywshewa Na mvua.

Inaelekea huyu Chemba amewapa hela kidogo!
 
Kueleke 2915 kutakuwa na mambo mengi yatayolitikisa taifa. kubwa ni hili la uhsama kati yavyama na ndani ya vyama na kuzua mambo ya uongo. tuanze ku- figure out mambo hayo kisha tuwenke makubaliano jinsi tutakavyoenenda.
 
Hebu anza wewe kumvisha ya kijani

Woote ni vibudu tu na hata huyo Mwigulu hana mpya yoyote na wanaomsapoti ni wapimbavu tu
Kaiga hana jipya lolote kuvalisha mbwa bendera mbwa wa kwanza Tanzania alivalishwa bendera ya cc Tarime uchaguzi uliopita kama ni Mwigulu ndie kwa kujiona kaanzisha kakosea kaiga kwa wanaume wenzake yeye ni baby tu kuiga walichokianzisha wanaume wenzio halafu unajidai umetunga au umegundua wewe ni ujinga na uchumi wako grade I sijui lakini hamna lolote boya tu
Mbwa wa kwanza alivaa bendera ya ccm Tarime tungekuona mjanja kama ungetoka kivyako tofauti na unavyokopi na kupest walioanzisha wanaume wenzio halafu unajiona bonge la mjanja labda kwa kuteka watu kuwatoa kucha na kuwan'goa meno utakuwa ni wa kwanza Tanzania
 
Huyu jamaa anajiona kwamba yuko juu ya sheria,kwa hiyo anaweza kufanya lolote bila kuchukuliwa hatua.Anatakiwa kutambua kuwa yuko kwenye kipindi cha mpito,iko siku makosa yake yatakusanywa na kuchukuliwa hatua,aangalie wenzake wa Malawi wanachokumbana nacho kwa sasa.
 
Nakumbuka 2010 vijana wa Tunduma waliweka sale za MAGAMBA Kwenye JENEZA na Wakazika.
Ukatumika UDIKTETA kutoka kwa mh.DHAIFU wakasombwa vijana na kutupwa lupango.
TUSIO NA POLICCMAGAMBA TUNATABU.
 
Sishangai kwa mtu anayetaka ujiko wa kulazimisha kufanya hivi kwani atatafuta kila kitu ili afurahishe wenziwe (viongozi wake) na apate kualikwa kwenye matamasha ya kula pilau wakati anaweza kula kwake na famili yake. Mpuuzi ni mpuuzi tu no matter what.
 
ukfikia hatua hii basi ujue safari yako ya kisiasa imefikia ukomo kwa maneno mengine unakuwa umefirisika kimawazo, yaani unatumia nguvu badala ya akili kujenga hoja.

watu wa haki za wanyama mpo? dili hilo.
 
kafikilia cha kufanya kafanya icho sasa maana ya alicho kifanya kaonyesha ni kwa njisi gani chadema ni mlinzi wa taifa nawezi wanavyo muogopa mbwa vivyoivyo mafisadi wanavyo iogopa chadema sasa chadema endelezeni mapambano kwani mbwa ni mlinzi kwa binadamu na chadema ni walinzi wa taifa pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom