Kiongozi wa chama ngazi ya TAIFAdaaah jamaa amepinda
Mwigulu kama mamake hakutiwa mimba yake akiwa amelewa basi he must have come from his mothers womb from the back[/QUOTE Kigogo hebu jenga taswira kuwa ni Mnyika kamvisha hata jogoo tu(sembuse mbwa)bendera ya chama kikubwa..........
CDM mkionewa hivi msikae kimya.Dr Slaa,Mh Mbowe,Mh Tundu,Mh Zitto,mh Mnyika,Mh Lema,Mh Safari,Mh Mabere,MhSugu,Mh Msigwa,Mh Halima,Mh Wenje,Mh Kiwia,Mh Vicent, Mh Machemuli nk,nk mbona hatukusikia tamko lolote la CDM juu ya hili?Kikwete ona watu wako hawa sasa wanakudhalilisha ,mtu kama huyu hivi polisi wa huko Iramba mpo likizo au kama kawaida yenu mnasubiri mpinzani afanye ndo mchukue hatua?usalama wa Taifa mko wapi?watu wanahatarisha amani ya nchi nyie mnaangalia tu?huyu mtu alienda Arumeru katoa kashfa za kutosha badala ya kuwajibishwa kapewa ujumbe wa kamati kuu,hii nini sasa?namna gani nyiye watu wa hicho chama?are you seriours?i wonder.
Mwigulu kama mamake hakutiwa mimba yake akiwa amelewa basi he must have come from his mothers womb from the back[/QUOTE Kigogo hebu jenga taswira kuwa ni Mnyika kamvisha hata jogoo tu(sembuse mbwa)bendera ya chama kikubwa..........
Mnyika hajalelewa jalalani kama hao watoto waliopatikana vilabuni
na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..
duh.jamaa jembe la ukweli
Jembe kivipi?
Ujembe upo wapi hapo?
Hakuna kosa.tukio la mwaka jana mngeshaandama mpate huruma ya wananchi. Hata mpirani watu wanapitisha majeneza. Mbona kule mwanza CDM mlipeleke jeneza lenye bendera ya ccm kwao masha.CDM mkionewa hivi msikae kimya.Dr Slaa,Mh Mbowe,Mh Tundu,Mh Zitto,mh Mnyika,Mh Lema,Mh Safari,Mh Mabere,MhSugu,Mh Msigwa,Mh Halima,Mh Wenje,Mh Kiwia,Mh Vicent, Mh Machemuli nk,nk mbona hatukusikia tamko lolote la CDM juu ya hili?
Msisubiri kujibu mapigo tu bali hata kuyaanzisha kama kutafuta haki juu ya hili