Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Aug 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Update kutoka facebook:-
  Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba"
  [​IMG]

  wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
  [​IMG]
  [video=youtube_share;lZerEan2SZ4]http://youtu.be/lZerEan2SZ4[/video]

  [​IMG]


  [video=youtube_share;Pm900e4TFc c]http://youtu.be/Pm900e4TFcc[/video]

  Snapshot 12 (8-18-2012 4-34 PM).png Snapshot 5 (8-18-2012 4-32 PM).png mwigulu.jpg
   

  Attached Files:

 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,239
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Bandiko lako ndilo halijakaa sawa!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ashitakiwe baada ya kuthibitisha ni kweli, huyu jamaa hajui siasa kabisa na anaendekeza siasa za chuki.
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,714
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  sishanga mpuuzi kufanya jambo hilo
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  mkiambiwa Mwigulu ana laana na anahusika na mauaji kutokana na akili yake kutokua sawa mnashangaa.... they guy is insane
   
 6. r

  rwazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa inabidi akamatwe ameongelea kesi iliyo maHakamani arafu anaonekana njaa ni kali sana
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  HUU NI utoto
   
 8. C

  Concrete JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Toa taarifa kamili ili tukuelewe vizuri kisha tuchangie.

  Kafanya hivyo lini? Wapi? Kwa sababu gani? picha? Source?
   
 9. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kama haya yanatokea kwa kada mwelewa na mweledi wa siasa.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..
   
 11. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wauaji wengi huanza na kutesa wanyama.bila shaka mtu wa namna hii ni wa kuchunguzwa.
  namuonea huruma mke/girlfriend wake kwa sababu studies zinaonyesha mtu anayenyanyasa wanyama mara nyingi hutesa familia yake.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ikithibitika kuwa ni yeye personally, hii ina implication mbaya kwake!
  Shida ni kwamba kwa namna yoyote atakataa!
   
 13. D

  Determine JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwigulu anaibeba sana CDM
   
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,960
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli ni wazi ni mjinga
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,691
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  Dawa yake inatokota,jimbo atalisikia na atakuwa mbunge wa term moja tu na hatarudi tena mjengoni,asante yake ya EPA itaishia 2015 June.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Weka picha.
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,560
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  mpuuzi!
   
 20. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Huyu hapa.
  .. Mbwa.jpg
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...