Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kwa kufanya hivi tu tayari watu wanavua gamba ye hajui hilo au anawaza kwa masaburi?
 
aendelee ni ukilema wa akili anatusaidia wakati mwingine si unaona yaliyojiri IGUNGA
 
Toka chaguzi ndogo zianze, Mwigulu amekuwa kampeni meneja chaguzi za majiimbo mawili ambayo ni Igunga na Arumeru Mashariki. Matokeo ni kuwa majimbo yote kapoteza na majimbo yote yametokea mauaji kwa wafuasi wa Upinzani.
CCM mpo hapo? hili ni zigo lisilobebeka, hata Bungeni mmeona alivyowaaibisha kwa hoja zake zisizosimama vema kama za wabunge vijana wenzie.
 
Siipendi CCM, lakini naisikitikia sana kwa kuwa na Wanachama wa aina ya Mwigulu. Too bad!
 
Ilitokea igunga wafuasi wa CHADEMA walimvisha mbwa bendera ya CCM. wakakamatwa na kushitakiwa. sasa ngoja tuone hii itachukuliwaje???
 
Nimemwona leo macho mekundu halafu yamevimba. Kunanini kimemsibu?
 
pengine ni neema kwa cdm maana hata mbwa wanapata shida kwa sababu shida imekuwa kubwa kiasi hata majalala yanakosa vyakula walivyozoea kujiokotea hao mbwa.hata hivyo mimi naamini huyo mbwa ana akili kuliko mwigulu maana ndio rafiki pekee ambae mwigulu ameona kuwa anamfaa.my take sishangai kwa mwigulu kumvika mwenzie upuuzi wake.hii chadema hii itawaua mwaka huu.
 
Mmmm Makombo hamna jamani.
 
mwigulu ni mtoto hajui alitendalo akikua ataacha,, sio kosa lake ni kibaraka anatumiwa na watu fulani fulani
 
Jibwa la CHADEMA lina akili kumzidi Mwigulu na Wassira. Hawa mbwa ndio watalinda kura zetu mwaka 2015. Mwigulu amefanya asilojua maana yake. Ninavyomuona huyo mbwa ukimvalisha mavazi ya kijani hapatatosha.

Bravo Dog kwa kujua kuwa ukombozi unakuja; ambapo nanyi mtapata huduma safi za afya na lishe safi. Hata mie mbwa wangu nikipiga gwanda huwa wananihusudu sana.
 
hakika mwigulu ni punguani wa kuhurumiwa! Kama kweli kitendo hiki amekifanya, anaonyesha ni jinsi gani alivyo mtupu! Hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kwani ni utaahira kamili labda tu hajapata cheti Milembe!
 
Huyo mbwa ana akili kuliko huyo mwigulu, kama unabisha muulize huyo mbwa au mwigulu. Mbwa anajua atakua salama zaidi kuliko mwigulu muda mfupi ujao. yaani ananusa na kusoma nyakati lakini mwigulu anapwanga mwigulu tu....
 
Sera zimewmishia na anareflex jinsi alivyo mpuuzi,akili yake ndio wale wanaoambiwa wanafikiri na kufanya kwa kutumia makalio
 
Ahaaa...heri w.iramba tuwakilishwe na huyo mbwa wa cdm kuliko na huyo muzuka anyetumia migulu kufikili na tyue[kichwa] kutembea. Amevimbiwa magai ya nkata[togwa]. Mwigulu cheua kwa kutumia njia mbili ama sivyo utapasuka msamba. Nakushauli uchukue hata political science online. Umetuaibisha wanyira. Hatuna mbunge hapa. Sidhani kama utamaliza miaka tano. C tumpige chinii, kwanin nini?. Nakwambia leo hii mwigulu akisimama jukwaani na huyo mbwa kuomba kura, huyo mbwa atashinda kwa kishindo bila kujali itikadi ya chama. Tia tano hapa mukulu
 
:yawn:SI ANATUMIA MIGULU KUFIKILII. SI ANAZANI KAFIKA. SIO KOSA LAKE, HAKUPATA MALEZI
 
Umesahau watu wanaotazamia mitihani au kutoa kiyu kidogo ili wasonge mbele? Mwigulu tunataarifa zake alikua mwibiaji mzuli sana na alikua hodali wa kujikomba kwa maprofesa. Haya ni matokeo ya system chafu ya elimu. Kukaliliiiiiiiiiiiiiiii. Sasa anachofanya ni compesation of poor self academic image. It is very natural.sometimes inasaidiaga, ila hapa imekula kwake. Wrong timing and wrong audience!
 
Amejipima akatafakari kagunduwa kuwa hakuna mwenye akili zinazo fanana naye isipokuwa ni mbwa tu.milembe hiyoooo inamwita.
 
Amejipima akatafakari kagunduwa kuwa hakuna mwenye akili zinazo fanana naye isipokuwa ni mbwa tu.milembe hiyoooo inamwita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom