Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Usiende haraka mkuu,,mpaka hapa hakuna proof kwamba aliyefanya hivo ni Mwigulu,,picha hazimwonyeshi yeye ambao ndo ulikuwa ushahidi saaaaafi. Usiwe provoked upesi, na mpiga picha alitakiwa kumlenga yeye mvalishaji na mbwa wake sasa kapiga mbwa pekee then anatuambia ni Mwigulu

Tukio likifanyika mbele yake na akashindwa kulikemea hapo hatuhitaji ashike yeye mwenye...wanaanzisha vita ya mawe wakati wanashi kwenye nyumba ya vioo au wanawategemea hao polisi kwanza wenyekiti wao kuna picha kibado za kumzalilisha.. sema nikiziweka hapa ni bani lakini wakinikera zaidi watafurahi...
 
tafsiri ya mbwa kuvalishwa alama za chama manake hiki chama kinafanya vitendo vinavyostahili kufanywa na mbwa

Very shallow and poor thinking! Hivi nani anashindwa kuvalisha mbwa au nguruwe bendera au nembo ya chama au taasisi yoyote pinzani. Kama ingekuwa na tija unadhani Chadema wanashindwa kufanya hivyo hata kwa mbwa au nguruwe elfu moja kwa siku wakitaka kwenye mikutano yao inayoendelea kila kona ya nchi na kushuhudiwa na maelfu ya wananchi? Unadhani kwanini hawafanyi hivyo? Huo muda wa kukaa chini na mbwa, "kumbembeleza" na kumvalisha nguo watautoa wapi? Wana majukumu mazito kuliko low-level kama hizi.

Kama anadhani amepatia, hii itammaliza. Usirudie tena kutoa poor argument kama hii.
 
Unapokuwa kwenye nyumba ya vioo usipige mawe kwenye nyumba ya nyasi, nimeshtushwa sana na kitendo cha bwana mwigulu mchemba kiongozi wa juu kabisa ndani ya safu ya chama chetu kushiriki kumvisha mbwa bendera ya chadema kumbuka huyu bwana na mweka hazina wa chama cheo chake ni kikubwa bahati mbaya cheo chake ni kikubwa kuliko uwezo na akili yake inasikitisha hivi ikitokea dunia nzima inaonyesha mbwa wanavaa bendera ya chama tawala hivi heshima ya rais wetu kimataifa anapokwenda itakuwaje kutokana na mchezo ameouanzisha bwana mwigulu wapinzani hawana cha kupoteza kwa sasa lakini rais atazungukaje kwenye nchi za watu kwa heshima ipi wakati chama anachoongoza kinavalishwa bendera yake mbwa ? CCM amewaloga nani? Akili hekima busara zimeenda wapi?kuna haja ya CCM kujitafakali upya kwa kina inaelekea wapi na ikiwezekana kupanga safu mpya ya uongozi wenye hekima busara maarifa kuelekea uchaguzi wa meaka 2015. [video=youtube_share;Pm900e4TFcc]http://youtu.be/Pm900e4TFcc[/video] View attachment 62326View attachment 62327View attachment 62328View attachment 62329View attachment 62330[/QUOTE]
 
Japo video haijao nesha Mwingulu(burn karudi) kuwa ndiye aliye mvalisha dendera ya cdm lakini bado haimuondoi mwingulu kwenye hatia!

Na si shangai sana kwani laana ndio kazi yake hii mwingulu ana laana sana!
 
Moja, mbwa ni mnyama wa heshima sana. Angalia wenzetu kule ulaya wanavyomtumia, mwangalie Obama anavyoishi na mbwa. Angalia mbwa anavyofanya kazi na askari n.k. Sioni tatizo hata kidogo.
simtetei Mwigulu, ila hakuna mahali panaoonesha kuwa mwigulu amehusika na kitendo hiki. Bravo chadema maana hata wanyama wamewakubali

Ninakubaliana na Polisi. Hapa hakuna tatizo kabisa. Hii ni heshima kubwa sana kwa CDM. Ndiyo, zamani utamaduni wa kwetu ulikuwa ni kuitwa mbwa ni tusi, lakini kadri tunavyozidi ku-copy na ku-paste - mbwa ni mnyama anayeheshimiwa sana, rafiki wa binadamu, na ninafikiri wengine wameanza kumfanya kuwa pet badala ya kuwa tu mlinzi!
Mhe sana Nchamba bado amegandia katika fikra za zamani.
 
kweli chadema ni chama makini na kimetokea kupendwa na mpaka wanyama na hii inaonyesha ni jinsi gani ukapa umekuwepo mpaka kwenye viumbe tunavyofunga na ndo maana vinahitaji mapinduzi ya kuiondoa ccm madarakani na ukizingatia mbwa ni mnyama anayefugwa na binadamu na anapendwa na binadamu na anamsaada mkubwa sana kwenye ulinzi wa bianadamu hakika ni jambo zuri sana kuona mpaka viumbe vya mungu vimetupa ushirikiano mkubwa sana kwa kuindoa ccm madarakani 2015
 
Unapokuwa kwenye nyumba ya vioo usipoge mawe kwenye nuimba ya nyasi, nimeshtushwa sana na kitendo cha bwana mwigulu mchemba kiongozi wa jui kabisa ndani ya safu ya chama chetu kushiriki kumvisha mbwa bendera ya chadema kumbuka huyu bwana na mweka hazina wa chama cheo chake ni kikubwa bahati mbaya cheo chake ni kikubwa kuliko uwezo na akili yake inasikitisha hivi ikitokea dunia nzima inaonyesha mbwa wanavaa bendera ya chama tawala hivi heshima ya rais wetu kimataifa anapokwenda itakuwaje kutokana na mchezo ameouanzisha bwana mwigulu wapinzani hawana cha kupoteza kwa sasa lakini rais atazungukaje kwenye za watu kwa heshima ipi wakati chama anachoongoza kinavalishwa bendera yake mbwa ? CCM amewaloga nani? Akili hekima busara zimeenda wapi?kuna haja ya CCM kujitafakali upya kwa kina inaelekea wapi na ikiwezekana kupanga safu mpua ya uongozi wenye hekima busara maarifa kuelekea uchaguzi wa meaka 2015.[QUOTE/]

Mkuu hii wala isikupe shida. Ni nzuri sana. ni turufu muhimu sana kisiasa kwa Chadema kama wakiitumia vizuri. Na sidhani kama ndani ya Chadema kuna mtu mwenye akili na muda wa "kukaa chini na mbwa" na kumvika nguo. Aftera all, "kabla ya kumvalisha alikuwa anamfanya nini" huyo mbwa? Kuna hoja hapa kwa watu wenye kufikiri! Yaani hii ni nzuri mno; jamaa kaingia mwenyewe.
 
Tukio likifanyika mbele yake na akashindwa kulikemea hapo hatuhitaji ashike yeye mwenye...wanaanzisha vita ya mawe wakati wanashi kwenye nyumba ya vioo au wanawategemea hao polisi kwanza wenyekiti wao kuna picha kibado za kumzalilisha.. sema nikiziweka hapa ni bani lakini wakinikera zaidi watafurahi...

Achana nae mkuu,kwanza ni kama anakitangaza CDM tu kwa matendo kama hayo! wewe jikite kupiga M4C
 
na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..
anageivisha hiyo bendera kwa mbuzi, kondoo au nguruwe ndo angeweza hata kushtakiwa, mbwa ni mlinzi na CDM ni walinzi wa mali za umma, tunamshukuru kwa kuliona hilo.
 
Sasa na mimi naenda kutengeneza picha ana pigwa mashine!
Nyambav sana hili dude!...
 
Mmeniaminisha Mbunge huyu ni Punguani kama ni kweli!! Yani dah. Nimesha mfahamu.
 
Moja, mbwa ni mnyama wa heshima sana. Angalia wenzetu kule ulaya wanavyomtumia, mwangalie Obama anavyoishi na mbwa. Angalia mbwa anavyofanya kazi na askari n.k. Sioni tatizo hata kidogo.
simtetei Mwigulu, ila hakuna mahali panaoonesha kuwa mwigulu amehusika na kitendo hiki. Bravo chadema maana hata wanyama wamewakubali

Mkuu Polisi, ingekuwa bendera yenu Magamba amevalisha Mbwa, wangekutuma mara moja uwakamate waliotenda kitendo hicho. Nakumbuka wakati wa kampeni kule Songea manazi wa CHADEMA walimvarisha Mbwa T shirt la njano lenye nembo nyundo na jembe, polisiccm muliwakamata nakuwafungulia mashitaka kwa niaba ya ccm.
 
Mimi sipati shida na Mchemba ila chama chake kinavyopoteza umaarufu kwa kuwa na wawakilishi wabuya unga kama Mchema.

Dawa yake ni kumpuuza na kumruhusu avike mbwa wa mtaa mzima bendera za CHADEMA halafu tuone kama CDM ina lose au ina gain.
Mbwa ni mnyama mkali na acha avikwe bendera ya chama kikali kwani mbaya ni kama hiyo bendera angevikwa Mbweha ambaye ana sifa ya uoga lakini kama ni mbwa imekaa vema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom