Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
mpaka kufikia ngazi aliyokuwa nayo kitaifa ndani ya CCM, bila shaka ujinga huu ni kipimo tosha kuwa sasa mateja wamevamia siasa za Tanzania, haitegemewi kwa kiongozi kama yeye kufanya kitendo kama hicho, huyu anajenga hasira ili kutokee machafuko, anashindwa kuafanya siasa kwa njia ya kistarabu anaibukia siaasa kama hizi, LAKINI SI SHANGAI KWANI AMEONESHA UKOMO WA FIKRA ZAKE.
 
Ndio matunda ya JKT hayo, kafundishwa kushut, kusafisha silaha. Sasa utamfanya nn na jeshi analo. Wana_CDM tuendelee kutumia akili zaidi kama ilivyo jadi yetu maana hawa magamba wanatafuta pa kutokea. Kweli kiongoz mkubwa kabsa wa chama anafanya hiv!?
 
Operesheni VUA GWANDA CHANA GWANDA VALISHA MBWA! duuuuuuuu, hili lilikuwa bonge la operesheni.
 
Mwigulu anazidi kukipa chati ya juu CDM pasipo yeye kujijua. Hivi nani ambaye hajui umuhimu wa mnyama mbwa? mbwa ni mtiifu,mnyama makini na huwa siku zote anawida maadui wake, ndio maana leo hii ukienda viwanja vya ndege si ajabu kumkuta mbwa akiwa na polisi ni kutokana na umakini wake katika kujua mabaya na utiifu wake. Hivyo Mwigulu anakili kuwa CDM ni chama makini chenye kujua ubaya hata ulio jificha kama ambavyo mbwa anavyo weza kujua kitu kibaya hata kama kimefichwa kama madawa ya kulevya na mabomu ndivyo CDM inavyo kurupusha ufisadi wa ccm hata kama ulijificha, kama vile EPA na richmond viva CDM
 
Kwanza yule mzeee aliye muokota huko kijijini anaonekana amechoka kwa njaaa na kama mnavyo jua kuwa mkoa wa Tabora tayari umetangaza janga la njaaa kali vijijini sasa huyo mzeee kaona aanze mapema kupata mgao wa mahindi.

Kwanza namshamgaa anawaita watu eti vijana wenzangu hivi ni kijana yule? mbona anajichanganya sana mala yeye ni mkongwe wa sisa mala yeye ni kijana sasa tushike lipi? kweli mwigulu kwa watu hao anao wanunua kwa debe la mahindi asijidanganye kuwa anapambana na CDM mimi nadhani ccm waendelee kutekeleza ahadi kwa wananchi kuliko kuendelea kupambana na CDM tena kwa mbinu dhaifu kama hizi kwani wananchi hawata wauliza jinsi walivyo pambana kuichafua CDM bali watataka mlejesho wa ahadi zao za mwaka 2010 hapo ndipo patazidi kumwondoa kwenye njia ya kurudi mjengoni mwigulu. VIVA CDM.
 
nimekubali rasimi MWIGULU ni "janga kuu la zawa"::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: kiongozi wa chama cha siasa tena chama tawala unatenda haya kweli kabisaa!!!!!!!!!!!!???????????

si janga tu, niamini uwendawazimu umemuanza. Sijasikia mtu mzima kufanya afanyayo huyu
 
Naomba wanajamvi nijuzeni! Hivi hii ilikuwa kabla ya kwenda JKT au baada ya kutoka JKT? Kama ni baada ya kutoka JKT fedha za walipa kodi alizozitumia huko JKT aheri zingetumika kununua majokofu mochwari ya kijijini kwetu.
 
Mwingulu mchemba ni mwendawazimu, hajui hapo ana promote chadema..yaani chadema inazidi kupaa tuu...mwingulu mchemba ni mshenzi wa tabia, malezi mabaya plus umaskini vimeharibu akili yake....wewe mwingulu jifanye mjanja ila siku nguvu ya umma ikiamka tutakuadhibu hadharani..mshenzi mkubwa wewe huna adabu sura mbaya, roho mbaya...ama kweli maskini akipata ------ hulia bwata...mpumbavu mkubwa wewe shenzi kabisa!
 
nimekubali rasimi
MWIGULU ni "janga kuu la
zawa"::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: kiongozi wa
chama cha siasa tena chama tawala unatenda haya kweli
kabisaa!!!!!!!!!!!!???????????

mwigulu ni kichaa wa siasa, anastahili kupelekwa mirembe..! huku meru tuliikataa ccm kwajili yake!
 
Ama kweli chadema inawanyima usingizi magamba...dr slaa ni kiboko ya magamba damage aliyowapa magamba imesambaratisha magamba wananchi hawataki kabisa kusikia kitu inaitwa ccmna manguo yao ya rangi za magay...yellow and green. ...likikwete limeshindwa nchi...kazi kucheka cheka tu.
 
Nitakuona shujaa na mpenda CDM wa kweli kama utahijinyonga maana hii imewauma sana. Suluhu ya hili ni kujinyonga kuonesha jinsi gani ulivyokereka. Na acha ujumbe nimeji........coz ya thread ya Mwigulu a.k.a Lalilali
 
wakati chadema na cuf waki angaika kugombania maendeleo. mwigulu yuko busy kuvalishana bendera na mbwa wenzake.
 
ingekuwa mtu wa CDM kamvalisha mbwa bendera ya ccm angekamatwa na kushtakiwa kwa kukidhalilisha chama cha mafisadi!! Ila upungufu wa akila tu ndio unaomsumbua go to hell mwigululu...!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom