Nawaomba viongozi wa Chadema hili jambo lisiwahangaishe kabisaa, wasijibizane na hicho chemba kisicho na chembe cha akili wala maadili. Bila shaka mazuzu wenzake ndani ya CCM yatakuwa yanamshangilia na kumpongeza kwa hilo tendo...si ndivyo walivyo? Mtu mwenye akili timamu, nasema na kurudia, mtu mwenye akili hawezi kukishabikia chama hicho ambacho kimejitambulisha kama kimbilio la wahalifu ... mafisadi, wapuuzi, wezi na wauaji. Huko wanapatikana tu wanafiki akina Mwigulu na Nape...watu ambao watasaliti hadi ndugu zao mradi wanatupiwa makombo chini ya meza.