Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Unaweza kuniambia "image mbaya ya mbwa" inatokana na kitu gani kwa mwafrika?Yani kihistoria ni kitu gani kilichofanya mbwa awe mnyama mbaya kwa waafrika specifically wabongo?

Haijaandikwa sana ila:
- Tusi maarufu na litolewa ni mbwa.
- Mbwa huwa hawakaribishwi ndani ka vile huonekana ni mchafu hata kata km kaoshwa.
- Mbwa akibweka kwa kilio kirefu usiku huwa watu humhusisha na balaa.
- Mbwa ni najisi kwa watu wengine."Ingawa huwa anatumika kuwinda".
-Mbwa huwa wanapewa mabaki, ama ya chakula kilichosazwa na binadamu ikiwepo mifupa,ama mabaki ya processed food katik machinjio au hata mahotelini(Mbwa wengi huwa wana upungufu wa virutubisho).

-Mbwa huwa anahusishwa na tabia mbaya.(kama umalaya na matendo ya ngono bila adabu).Utasikia watu wakiwaambia wenza mnat**** kama mbwa.

Na mengine mengi::
Kwa mambo ya kigeni,ila vipo kati ya waafrica, watu wanaamini kuwa wakiwa katika swala au hata wakishajiandaa kwa ibada mbwa hapaswi kumnusa na ikitokea basi huwa anaharibu ibada ile.

So Mchemba hakupaswa fanya au hata kukaa kimya bila kukemea hayo ,hata kama atakuwa anadhani kuwa naakaribia acha siasa.naogopa kusema kwani nitaitwa mkabila.Ila ukanda aliotoka kwa miaka ya karibu pamekuwa sana na kumomonyoka maadili.Vijana wamekuwa wepesi kufanya matendo yenye upungufu wa kimaadili na wazazi wamekuwa ama wanachekelea au hata kushiriki.Hii ndio shida ya kuwa kizazi cha vijana wapuuzi ambao baadaye wanakuwa wazee wapuuzi. Mwigulu ni kizazi kiovu kinachofuatia.Kawa carried away na upepo unaomwendea ndani ya CCM.Na uhuru bila kuwa na wajibu wa kurekebisha au kupima matendo na maneno yake.Dogo kakosa busara kidogo tuu.Hakufundwa kujua kuwa hata adui yako akikumbwa na baya pasipo stahili (pasipo haki,yaani makosa yake),huwa si vyema kuchekelea lets alone kushangilia.Hata kama si yeye aliyeamuru ila hakupaswa furahia ule utoto,sasa kahalalisha ujinga sana.kesho akisikia mwanamke mwana CDM kabakwa na watu na mbwa kwa ushirikiano wa binadamu, atathubutu kemea kam alibariki bila mipaka?

Kwa CDM hakuna hasara ila kwa mchemahaina matokeo mazuri na kulifuta hilo ni kazi.Kuna vitu wahusika wakifanya hakuna shida,ila akifanya mtu wa nje hakitakuwa that okay.Wamarekani wanaheshimu sana bendera yao,ingawa pia wameiweka katika kila kitu hadi katika underwears.Ila hawatakuwa na tafsiri hiyo mwingine akifanya. Watu marafiki huitana Dog,Nigger, etc ila mtu aliye nje ya hiyo circle akimiwta yeyote ni balaa.
 
Kama Mwigulu na wenzake walifanya tendo hilo kama insult kwa CDM basi amepotoka, na inathibitisha kuwa siku za ccm madarakani zinaelekea mwisho kwa aina ya wanasiasa waliopo.
Kumvika Mbwa bendera au alama ya chama kingine kila mtu anaweza kufanya, kwa kuwa watu tunamiliki mbwa na mbwa hana itikadi. Kwa kufanya hivyo akifungulia wimbi la siasa za majitaka ccm ndio itakayoumia kwa kuwa tafiti zinaonyesha CDM inaungwa mkono na vijana. Vijana wakiamua wanaweza kuvika bendera au hata picha za kikwete kwa mbwa, nguruwe, kicheche nk. Sidhani kama ndo aina ya siasa tunataka.
Cha kusikitisha ni kuwa katika picha kunaonekana watu walio katika limbi la umaskini wa kutisha, wamevaa kandambili na yeboyebo naa nguo chafu zilizochakaa. Hii ina maana huyu jamaa anaongoza maskini wa kutisha, kama wamevaa hivyo maana yake nyumba ndo itakuwa balaa. Angetumia muda aliopoteza kuhamasisha kilimo cha alizeti jimboni kwake angeponguza hizo yeboyebo
mkuu kama sikosei utakua unamiliki setifiket ya high class alafu international,kwani umemaliza mpaka yale niliyokua nataka kuyasema.big up kamanda,asante.
 
attachment.php


A2 P
hii imetulia sana tu, kwani hii layout nimeikubali, inaakisi ukweli usiopingika. Mwigulu badala ya kuhangaikia hayo anapoteza muda wake kuvisha mbwa pedendera inayowakilisha sehemu ya umma wa watanzania, ni ishara ya kuishiwa nguvu ya hoja na kubaki kuhaha kwa hoja ya nguvu na kasirani.
 
Ingekuwa chadema wamefanya hivyo basi tayari wangekuwa wamekamatwa na polisi wa ccm na said mwema kwa uchochezi lakini kwa vile ccm wamefanya hivyo huo sio uchochezi. Sawa bwana tutaonana 2015
 
Bandiko lako ndilo halijakaa sawa!
1. Yuko wapi Mwingulu kwenye hiyo picha??

2. Kwani mbwa ana matatizo gani? Si ni kiumbe tu kama wenzake? Nakumbuka kule zenji baada ya uchaguzi wa 2010 CUF na CCM waliwavisha punda bendera zao wakati wanasherehekea ushindi wa kula pamoja.
 
CCM kila siku wanasema wabunge wa CHADEMA wakapime akili..ila nafikiri wangeanza na huyu tahira!
Kawakosea heshima wapiga kura wake ambao najua kuna kiasi kikubwa tu cha wafuasi wa CHADEMA..hizi siasa za kizamani sana,ajipaaange...hiki ni kizazi cha kusikilliza hoja sio pumba!!his dayz in politics are numbered...Mi naomba chadema wasjisumbue na chizi manake mwisho wa siku kutakua hakuna tofauti ya chizi na mzima ni nani!!
 
watu wakichanganyikiwa na kuona hawawezi kushinda uchaguzi ujao matokeo yake ndio haya wanayofanya akina mwigulu

mtu mwenye akili asingetenda hivi
 
na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..

Mkuu siasa za kitoto za namna hii siyo za kuiga hata kidogo. Inashauriwa CHADEMA wawapuuze hawa watu. CDM wafanye siasa za maendeleo. Hii ni dalili ya CCM kukata tamaa. Sasa hivi CCM kila mmoja anajifanyia mambo yake. Watu ndiyo waamue nani anafaa
 
kwa taarifa za ndani zinadai ccm wanakimbia ofisi zao nenda lumumba kesho utatuambia kama akina nape na wenzake wapo
 
Haijaandikwa sana ila:
- Tusi maarufu na litolewa ni mbwa.
- Mbwa huwa hawakaribishwi ndani ka vile huonekana ni mchafu hata kata km kaoshwa.
- Mbwa akibweka kwa kilio kirefu usiku huwa watu humhusisha na balaa.
- Mbwa ni najisi kwa watu wengine."Ingawa huwa anatumika kuwinda".
-Mbwa huwa wanapewa mabaki, ama ya chakula kilichosazwa na binadamu ikiwepo mifupa,ama mabaki ya processed food katik machinjio au hata mahotelini(Mbwa wengi huwa wana upungufu wa virutubisho).

-Mbwa huwa anahusishwa na tabia mbaya.(kama umalaya na matendo ya ngono bila adabu).Utasikia watu wakiwaambia wenza mnat**** kama mbwa.

Na mengine mengi::
Kwa mambo ya kigeni,ila vipo kati ya waafrica, watu wanaamini kuwa wakiwa katika swala au hata wakishajiandaa kwa ibada mbwa hapaswi kumnusa na ikitokea basi huwa anaharibu ibada ile.

So Mchemba hakupaswa fanya au hata kukaa kimya bila kukemea hayo ,hata kama atakuwa anadhani kuwa naakaribia acha siasa.naogopa kusema kwani nitaitwa mkabila.Ila ukanda aliotoka kwa miaka ya karibu pamekuwa sana na kumomonyoka maadili.Vijana wamekuwa wepesi kufanya matendo yenye upungufu wa kimaadili na wazazi wamekuwa ama wanachekelea au hata kushiriki.Hii ndio shida ya kuwa kizazi cha vijana wapuuzi ambao baadaye wanakuwa wazee wapuuzi.mwigu ni kizazi kiovu kinachofuatia.Kawa carried away na upepo unaomwendea ndani ya CCM.Na uhuru wa kutokuwa na wajibu wa kurekebisha au kupima matendo na maneno yake.

Kwa CDM hakuna hasara ila kwa mchemahaina matokeo mazuri na kulifuta hilo ni kazi.Kuna vitu wahusika wakifanya hakuna hakuna shida,ila akifanya mtu wa nje hakitakuwa that okay.Wamarekani wanaheshimu sana bendera yao,ingawa pia wameiweka katika kila kitu hadi katika underware.Ila hawatakuwa na tafsiri hiyo. Watu marafiki hutana Dog,Nigger, etc ila mtu aliye nje ya hiyo circle akimiwta yeyote ni balaa.
Mbwa akionekana bongo ni mawe.Kwa mtu ambaye ametokea kwenye culture ya wenzetu wakiona mambo kama hayo wanashangaa sana,nadhani kimoyomoyo wanaona kama sisi ni wakatili na wanyama kabisa.Ni vigumu kumwelezea mtu wa culture ya tofauti.Hata hii waliyoifanya ni ukatili kwasababu walitaka kujenga picha mbaya.Mambo kama haya kwenye dunia ya sasa yanatuaibisha sana.Sipendi too much liking of the dog,but the way tunawatreat mbwa ni noma.
 
kwa taarifa za ndani zinadai ccm wanakimbia ofisi zao nenda lumumba kesho utatuambia kama akina nape na wenzake wapo

ccm ina ofisi nchi nzima kuanzia kwa balozi wa nyumba kumi hadi lumumba na ikulu,endelea kujipa matumaini
 
Mbwa akonekana bongo ni mawe.Kwa mtu ambaye ametokea kwenye culture ya wenzetu wakiona mambo kama hayo wanashangaa sana,nadhani kimoyomoyo wanaona kama sisi ni wakatili na wanyama kabisa.Ni vigumu kumwelezea mtu wa culture ya tofauti.Hata hii waliyoifanya ni ukatili kwasababu walitaka kujenga picha mbaya.Mambo kama haya kwenye dunia ya sasa yanatuaibisha sana.Sipendi too much liking of the dog,but the way tunawatreat mbwa ni noma.

Yeah, ni kweli ndugu yangu.Sikuandika ktk first place kwa vile ulinipa kibarua cha kuelezamitazamo yetu inayompa mbwa image mbaya.Pia katika video zetu huwa napata shida sana kuona abuse kwa watoto ikichekelewa. Nilipanda basi za Kibongo na rafiki yangu mmarekani.Si hawa wamarekani tuwaonao katika cinema zituzenguazo.Alikuwa akipata shida sana kujaribu zuia mwanae asiangalie shooting za bongo flavour na movies za akina Kanumba.Kuna scene za mapenzi kizembe, ukatili mbele ya watoto, wanyama, ..wao wamezoea movie zenye umri na watoto wao wanaheshimu hilo?km hawana hakika huwa hawachelewi uliza wazazi ili wapewe ruhusa. Jamaa walipata sana shida kutoa vitu vya kuchezea,mweka mtoto busy wakiongea naye, n akumpa jukumu la kupiga picture matukio ya nje kupitia dirishani.

Mbaya waliweka vituko ,basi watu wakawa wanagombania mtoto wanamvuta kiaina mtoto analia.gari zima watu wanacheka mbaya, then kuna collection moja iliweka kuna masela wanaimba halafu wapo katika duara, wakamshika mtoto wakawa wanamrusha juu na kumdaka kwa pamoja.jamaa wamepiga mlegezo halafu wanayumba, basi nilishtuka sana.Watu walikuwa wanacheka sana na waliokuwa kimya hawakuonekana ku notice kitu.Yule mzungu ndipo akafunguka.Akaniuliza mbona nimeshtuka,basi nikamwambia kuwa kuwa sikupenda sana ile scene.Kwa vile ni rafiki yangu na amefundishwa kuwa wawe waangalifu sana wakiwa africa as watu wapo sensistive na culture yao.Bado alikuwa mwnagalifu sana katika kuchagua maneno,akachomekea kuwa haoni ajabu kwa vile kasikia africa ni wazuri wa kucheza na wana uzoefu ndio maana pengine wengine si waoga.Nikajua nanipa mafuta kwa mgongo wa chupa.Nikampasulia kuwa mwanangu mimi nisingekuwa tayari kuona lile.Hata kama wangekuwa ni stunmen wa Holywood.Basi jamaa wakaaza niambia mambo mengi sana ,na kulink jinsi tulivyojiachia tukawa wakatili kwa kufanya mizaha ya mambo madogo kama hayo.Jamaa wakasema kuwa walishaanza shangaa sana kam hakuna hata mtu mmoja aliyeweza notice mambo yale.Na tayari walikuwa wa maswali mengi kijanza kuhusu scene za music na characters.Na na kukuta kuwa mambo mengi pia nasi kati yetu hayakuwa yametumeza .

Basi walimwaga vitu vingi sana.hadi matukio waliyoyaona katika kukabidhi miradi huko Kaskazini.Huwa wanashngaa hadi viongozi wetu ambao katika mialiko yao, kuna matukio yanafanyika wakiona ila hawaoni kasoro kabisa,tena wengine huwa wanachekelea.Mwigulu ndipo alipo ,anaweza karibishwa katik tamasha la campain kwa mbwa kama lilivyo kwa punda,kule kenya.Halafu hii picture ikamnyongo`nyesha katikati ya tukio.Ni kama police wetu wakialikwa katika masuala ya haki za binadamu,wanakuwa kam amtu aliyeitwa katika kikao cha kumjadili afukuzwe kazi.
 
Kama kweli Mwiguli kafanya hayo, angalie sana maana mbwa wa Chadema wanang'ata sana. Ila wanashindwa kubuni operation na slogan zao. Huyu na ndugu yake Nape ni wanamikakati muflisi
 
Mwigulu ni limbukeni amelewa sifa na hii inatokana na fedha nyingi alizochukua katika kampeni za chaguzi ndogo kwani amechukua fedha ambazo hakuna wakumuuliza kwani zilikuwa zinatolewa kama karanga. na yeye adui yake mkubwa ni CDM na sio umasikini wa wananchi wa Jimbo lake.
 
kwa kumbukumbu zangu Iramba magharibi ambalo ndio jimbo la mwigulu wabunge huwa wanachukua term mojamoja tu kwasababu watu hawataki mzaha,mwacheni afanye hivyo sasa asipofanya yeye nani mwingine atafanya ambae atakuwa mjinga kama yeye,sidhani kama anaweza kujitokeza mwingine akafanya hvyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom