Mosi, nianze kwa kukupa heshima kwa tafsiri nzuri kuhusiana na mbwa. Nimependezwa sana na mwelekeo chanya uliouonyesha kuhusiana na suala hili la mbwa kuvishwa bendera ya cdm.
Pili, kwa namna ulivyoeleza nimejikuta napata swali la haraka haraka kwamba kama waislam hawamtaki kabisa mbwa, hii ina maana gani in the context ya maelezo yako hapo juu?
HUU NI utoto
Very low!!!
Ikithibitika kuwa ni yeye personally, hii ina implication mbaya kwake!
Shida ni kwamba kwa namna yoyote atakataa!
Ashitakiwe baada ya kuthibitisha ni kweli, huyu jamaa hajui siasa kabisa na anaendekeza siasa za chuki.
1st class degree holder. Anaweza kuwa kipimo sahihi cha janga linaloikabili sekta ya elimu kwa nchi yetu.hayuko sawasawa huyu mwigulu
Nimetoka kwenye ban kwa ajili yake na naamini nitarudi kwa ajili yake.