Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
ofisi ya mtendaji.jpg hivi wewe n - chemba miaka 50 ya uhuru na rais anatoka wilaya yenye ofisi kama hii. Kwanini usingevalisha bendera ya ccm? 2015 sio mbali kijana
 
Nadhani tuachane na huyu mwehu makamanda, tunampandisha sana kujadili kile kituko chake...na ndio maana sijasikia tamko lolote la chama chetu maana CHADEMA haina kawaida ya ku-deal na wehu.

your right 100%
 
Mimi nafikiri kuonesha kuwa hiki kitendo hakitujatufurahisha wapenda amani na wafurukutwa wa maendeleo ya nchi yetu kinachotakiwa kwa sasa ni kuchukua hatua ya kumwadabisha, kumuonesha kuwa kila jambo lina mwisho wake. Yafaa sasa kuanza kampeni kuhakikisha 2015 kama ataingia bungeni basi iwe kupitia viti maalumu na sio jimboni. Hapo tutakuwa tumeongea kwa vitendo na kutoa fundisho kwa wengine.
 
Nadhani ni more of a cultural issue.Kwa wabongo mbwa anadharaulika kwenye culture yetu.Kwa wenzetu mbwa anapendwa na hilo ni kama promotion kumvisha bendera.Kuna hadi high school ina symbol ya bulldog,na kwenye matukio ya kuiwakilisha shule hata michezo ie football,basi unakuta wanaingia na bulldog aliyevishwa bendera yao,sasa shangaa utofauti.
Haha....kwa wenzetu ni mnyama ambaye katik matukio mengi amepewa "personality", kwa wabongo ana image mbaya.Sasa mwigulu atakuwa katumia hiyo mbaya, ingawa imendhalilisha yeye zaidi.Ila ni tabia ya CCM kuabuse vitu vingi.Hata walivyochagua Speaker walifanya kwa staili ya ku abuse wanawake kuliko kurudisha nafasi yao katika jamii na utamaduni wetu.
 
Huko Ruvuma wakati wa kampeni 2005 kuna kijiji watoto walimvisha mbwa t-shirt ya chagua kikwete walishitakiwa.
 
Mkuu, nikweli tamaduni zinatofautiana. Si unaona hata katika swala la ushoga tunavyotofautiana na hao wenzetu.

Mkuu ni tofauti kidogo mifano hiyo lakini nakubaliana in some ways...Issue ya ushoga kwa upande wa wenzetu,kuna wanaopinga issue hiyo na wanaosapoti.Wengi wanaopinga ni wahafidhina wa kikristo.

Kwa upande wa mbwa,ni culture yetu ambayo chimbuko lake ni uislam.Kwasababu mbwa ni najis.Hata kuna msemo unasema "ukicheza na mbwa atakufuata hadi msikitini"

Kwahiyo niliposema ni a cultural problem,sikumaanisha kwamba ni nzuri ama mbaya na nyingine nzuri...

Jamii huwa zinabadilika for what seems to be better for it.Sisapoti ushoga,na pia sidhani kama mbwa ni mnyama mbaya.Ila naheshimu imani za wengine,tatizo liloko ni kwamba kuna elelemts za imani za wengine kwenye culture zetu waafrika.Ni muhimu kuchagua zile zinazotufaa na si kwenda kama hatuna vichwa.
 
Achukuliwe hatua ni mara ya pili kufanya hivyo ya kwanza ni kutupa bajeti ya upinzani bungeni,nadhani ana matatizo ya kisaikolojia hivyo moja ya hatua ni kutibiwa kisaikolojia
 
Haha....kwa wenzetu ni mnyama ambaye katik matukio mengi amepewa "personality", kwa wabongo ana image mbaya.Sasa mwigulu atakuwa katumia hiyo mbaya, ingawa imendhalilisha yeye zaidi.Ila ni tabia ya CCM kuabuse vitu vingi.Hata walivyochagua Speaker walifanya kwa staili ya ku abuse wanawake kuliko kurudisha nafasi yao katika jamii na utamaduni wetu.
Unaweza kuniambia "image mbaya ya mbwa" inatokana na kitu gani kwa mwafrika?Yani kihistoria ni kitu gani kilichofanya mbwa awe mnyama mbaya kwa waafrika specifically wabongo?
 
229191_111492262332084_1054958997_n.jpg

2816_108808709267106_1098583272_n.jpg

Now I know why this man is always barking!
 
Huyo ndio kijana msomi ambaye watu wanamatumaini anaweza kuibebe CCM miaka ya baadae. Cha kusikitisha ana siasa za chuki, za kisasi, anatumia siasa za kizamani hata wazee wanamshangaa. Hutu jamaa kama kasoma hajaelimika na ni mshamba wa kutupa hadi anatie kero. CDM mkazieni kamba hadi aangukie pua next election.
.
 
He is insane mwacheni tu hao ndo wasomi wa uchumi wetu,ndo matatizo ya kufukiria kupitia masaburi badala ya kichwa?
 
Kuna mambo mawili yanayowezekana kulingana na kitendo chake:

Moja hajui kuwa anakitangaza zaidi CHADEMA kupitia mnyama huyu
Mana wengine wakilala wanyama watapeleka ujumbe wa M4C

Pili kwa kumvalisha mbwa bendera ya chama pendwa CHADEMA
ni dhahiri ana uhusiano wa kijinsia na mbwa.
 
Huyo hana Muda wakimchoka baada ya kutumika wanamwaga kama MAJIVU!
tatizo hawajifunzi kutoka kwa wenzao!
Jamani Mwiguli "RIP" yako inakaribia!
 
Kama ni kweli alitamka na ikathibitishwa kupitia vielelezo basi naomba CDM chunguza hili na wajitokeze wanachadema wafungue kesi mahakamni kama walivyofanya Arusha. Kosa hili linamfutia ubunge kabisa. Please, fuatilieni kwa karibu, chukueni clips za waashindi wa habari kamera waliokuwepo na waliorekodi maongezi hayo. Fanyeni haraka kabla ushahidi haujapotezwa. Watajichanganya kama unga wa ngano. Hana akili na busara, eti first class!! Labda kama alitoa kisamvu wakakichuma ndipo wampe hiyo first class.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom