Mwigulu achafua hewa bungeni na kuzua miguno

Status
Not open for further replies.
Hii saluti nimeipena, inapatikana Kosovo tu.

attachment.php
 
Kama kweli amelisema Bungeni basi ni jasiri na anajiamini.....kwangu mimi ndio sifa za Kiongozi.....!! mleta threads ungeleta pia respond ya serikali katika hilo.....!!
 
Kwa mawazo yangu, Mwigulu ni mtu muhimu sana kwetu wanachadema, maana kila mahali anapopita, ccm inakufa, wananchi ni waelewa kwa sasa, alikuja mbeya kwenye uchaguzi wa kata ya Iyela ika kwake, akaenda Arusha, akaondoka kwa aibu. Mwigulu endelea tumeona mafanikio kwetu. Bila wewe ccm ingetutesa sana
 
Ni ajabu sana kaongea kamaliza na kulaa kimya hakuna muongozo toka kwa Lukuvi wala kuombwa ushahidi na Spika wa CCM ?
 
Ni kiongozi jasiri,ni kiongozi mzalendo,nikijana shupavu,amejitolea kuipigania Tanzania ya kweli,amejitolea kupambana na wahujumu wa nchi popote pale Tanzania,Ni Mh.Mwigulu lameck Nchemba

Hapo kwenye red TASWIRA hakuna mwanaccm halisi anaeweza kusifia mtu ni jasiri na amejitolea kupigania Tanzania kwa kupambana na CHADEMA akawa ndio SHUJAA.. You are so pathetic so to speak..kweli unaacha at least kumpongeza Mh. Dr. Mwakyembe ameonyesha kukerwa na Madawa ya kulevya wewe wamsifia mtu anaekerwa na CDM ambao wanatusaidia kufichua maovu ili nasi tujirekebishe!! Kweli TASWIRA tena Bungeni kuna mambo mangapi yanatendeka ya hovyo ufisadi mathalani wa juzi tu Smart Partnership leo anasimama tena anaitwa Mchumi kuelezea upuuzi kama ule wewe wamsifu jamani!! Hata kama hatuwapendi CDM sio kwa njia hiyo!! We have alot of serious issues to deal with and not CHADEMA..vijana wafa kwa unga mtaani wewe wamsifia mtu kwa mipasho!! CDM ndio wangetakiwa kuyasema aliyosem Mwigulu na sio yeye!!

I am really disappointed with this....
 
Maswali kama haya yanasaidia kuona jinsi gani Tanzania ilivyo na serikali legelege iliyosababishwa na raisi dhaifu kiutawala. Mbunge wa chama tawala , ambaye ni naibu katibu mkuu(?)anamuuliza waziri kuwa wizara yake ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuchukua hatua matukio ya mauaji yenye utata (bila kujali nani amehusika...inaweza kuwa ni Mbowe, Slaa, Nchemba au mtanzania yeyote).
Hongera Nchemba kwa hilo, its just the matter of time....watanzania watawapumzisha tu.....mmechoka sana...mmepwaya sana hadi mnakuwa kituko.
 
Ha ha ha ha ha Mkuu Kongolo.. Umenifanya nicheke hapa.. Na kweli hii ni saluti ya kosovo.. Wanampigia mwenye chama mdogo lol..

Wanawatumia hata kununulia viatu ni shida ? Hii nadhani ni ya juzi tu huko porini halafu wanalia lia kila mara CCM bwana lakini wana umbuka kasi ya teknolojia hawaiwezi .
 
Tusi nlilokuwa nimeliandaa nimelihifadhi,mwenye shida nalo anishtue nim PM
 
Kama wana uhakika na hayo kwa nini wanakataa kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauaji hayo?
 
Nchemba hayo atendayo ni kujilisha upepo tu siku asiyoijua itafika,mahakama ya the Hague inamsubiri.
 
Dawa ya CHADEMA ni kuwaambia ukweli kama afanyavyo Mwigulu Lameck Madelu Nchemba. Big Up sana MWIGULU
Mbona wanajiiita chama tawala,kinatawala nini kama haya yanatokea na Kiongozi mkubwa kabisa wa chama tawala anaropoka tuu mtaaani.Ni kama mtoto aje akwambie baba nimepigwa na mtoto wa jirani halafu baba naye anasema hata mimi nilimwona akikupiga,amempiga pia mtoto wa yule jirani wa juu,halafu umenyamaza.Mtoto huyu atamwona huyu baba yake huenda hazipo,siku nyingine atamwambia Mama.Kumbe kuna umuhimu wa CDM kuimarisha Red Brigade maana wao ndio wanaoweza sasa kutumainiwa.
 
Safi sana Mwigulu. . Hizo ndizo siasa za CHADEMA. . Wao wanauwa wananchi kwania ya kutafuta huruma kwa wananchi. . .

Asante CCM kwa kumleta Mwigulu kuwa mwiba kwa CHADEMA

Wananchi tumeshawajua wauwaji nyinyi

Nani asiyewajuwa kuwa nyie ccm ni wauwaji wakubwa wa watanzania wasio na hatia?polis wameuwa arusha kwa kupiga raia lisasi,morogoro wameuwa hadi na mifugo,iringa wameuwa mchana kweupe,singida,arusha kanisani na kwenye mkutano wa cdm arusha mauwaji yote haya punguani mwiguru ndiye mratibu akitegemea kuwa watz wataogopa mikutano ya cdm kumbe anatumia kamasi kuamua nini cha kufanya,ccm hamfai kwa lolote mmeua uchumi,elimu na hata huduma ya afya mnaomsifia mwiguru kamasi tupu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom