MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
dMbunge wa iramba magharibi na naibu katibu mkuu ccm mwigulu nchemba amesema kuwa mauaji ya wananchi yaliyotokea katika mikutano ya chadema morogoro,arusha,singida na iringa ni ya kukemea kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa chadema taifa hasa mbowe na slaa wakamatwe na kufikishwa mahakamani haraka. Source; tanzania daima leo.
DPP Mchemba
