Mwigulu achafua hewa bungeni na kuzua miguno

Status
Not open for further replies.
katika hali isiyo ya kawaida mwigulu akichangia katika kipindi cha maswali na majibu leo akataja watu walio pigwa risasi na kupoteza maisha katika mikutano ya chadema, mwigulu akasema kama sheria zinge fuatwa basi kamanda wa anga mh mbowe na dr slaa wangekuwa gerezani, sasa sijuhi mwigulu(DPP) kasahau kuwa serikali iliyoko madarakani ni ya ccm? Ambayo haifati utawala wa sheria? Mwigulu jaribu kufikiri kabla hujaongea unaiabisha serikali yako sikivu
 
Kesi za wanasiasa wa upinzani zinapelekwa mahakani 'fasta' na kuhukumiwa 'fasta' ingawa karibu zote serikali hushindwa. Kesi za madawa mmmh! Lakini sishangai kwa sababu akina Mwigulu hawaguswi nazo wao na Slaa na CUF tu!
 
Jamaa ametusaidia sana.Magamba naomba msimtoe kwenye hiyo nafasi bwana mwigulu tiktaka
 
Unajua mimi najaribu kufikiri ni wapi ccm inajaribu kuipeleka hii nchi nashindwa kupata jibu fasaha na la uhakika sana. ccm ni chama tawala, ccm ndio imeunda serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama halafu Dr Slaa na Freeman Mbowe ambao hawana jeshi wala chochote wanaua raia wa Tanganyika wasio na hatia then hadi leo tunaongea Dr Slaa na Mbowe bado wapo uraiani wanaendelea na maisha tena bila wasi wasi wowote tena wanaendelea kutoa elimu ya uraia kwa watanganyika wasioelewa haki zao za msingi katika nchi yao ya maziwa na asali!!!!! Leo hii anaibuka mwehu mmoja tu anajiita mwigulu Nchemba na mwenzake sijui Lukuvi ambao ni viongozi wakubwa tuu wa ccm na serikali yake bila aibu tena bungeni wanapokaa wanatumia pesa za watanzania kujilipa posho wanaanza kuongea upuuzi mtupu kama huu kwamba wauwaji wa raia ni Dr Slaa na Mbowe halafu hawajachukuliwa hatua yoyote kweli!!!!! halafu mwenyekiti wa ccm anasikia upuuzi huu anakaa kimya na kuchekelea kwamba vijana aliowatuma kazi wanafanya vizuri sana kwa kufuata maelekezo ya mwenyekiti!!!!! kweli??? sasa katika muktadha huu kwanini tusiseme kwamba Tanzania hakuna serikali?? kwanini tusiseme kwamba Tanzania hakuna Rais?? maana rais aliapa kuilinda katiba ya Tanzania na katiba inasema kwamba kila raia ana haki ya kuishi then watu wanavunja katiba kwa kuua raia wenzao bila sababu yoyote then bado wapo uraiani wanadunda tu, kwelii??!!!! kwanini serikali isiwakamate watu hawa na kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia kushtakiwa?? kama wameshindwa kuwakamata na kuanza kuingiza siasa kwenye maisha ya watu basi ina maana serikali hapa ndio muuwaji wa raia wake!!!!!!! ni mara ngapi tumeshuhudia polisi wanatumia risasi za moto na mabomu kuua raia wasio na hata mawe????? hapa seriakali ikubali tu imeshindwa kazi na istep down ili kuondoa hii fedheha kwa watanzania. shame on you wanasiasa uchwara wa aina ya Mwigulu na ccm wote kwa unafiki uliowajaa. muda waja mtalia na kusaga meno!!!!!! nina hasira sana na hawa watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hili la Mwigulu na ChademAa huko BUNGENI limewafumbua Wananchi kiasi kikubwa, niko hapa Kinondoni watu wanasema Chadema haiwezi kushinda 2015 hata wafanyeje, maana ubaguzi na hila za kujilipua zinawaogopesha wananchi.
 
Unajua mimi najaribu kufikiri ni wapi ccm inajaribu kuipeleka hii nchi nashindwa kupata jibu fasaha na la uhakika sana. ccm ni chama tawala, ccm ndio imeunda serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama halafu Dr Slaa na Freeman Mbowe ambao hawana jeshi wala chochote wanaua raia wa Tanganyika wasio na hatia then hadi leo tunaongea Dr Slaa na Mbowe bado wapo uraiani wanaendelea na maisha tena bila wasi wasi wowote tena wanaendelea kutoa elimu ya uraia kwa watanganyika wasioelewa haki zao za msingi katika nchi yao ya maziwa na asali!!!!! Leo hii anaibuka mwehu mmoja tu anajiita mwigulu Nchemba na mwenzake sijui Lukuvi ambao ni viongozi wakubwa tuu wa ccm na serikali yake bila aibu tena bungeni wanapokaa wanatumia pesa za watanzania kujilipa posho wanaanza kuongea upuuzi mtupu kama huu kwamba wauwaji wa raia ni Dr Slaa na Mbowe halafu hawajachukuliwa hatua yoyote kweli!!!!! halafu mwenyekiti wa ccm anasikia upuuzi huu anakaa kimya na kuchekelea kwamba vijana aliowatuma kazi wanafanya vizuri sana kwa kufuata maelekezo ya mwenyekiti!!!!! kweli??? sasa katika muktadha huu kwanini tusiseme kwamba Tanzania hakuna serikali?? kwanini tusiseme kwamba Tanzania hakuna Rais?? maana rais aliapa kuilinda katiba ya Tanzania na katiba inasema kwamba kila raia ana haki ya kuishi then watu wanavunja katiba kwa kuua raia wenzao bila sababu yoyote then bado wapo uraiani wanadunda tu, kwelii??!!!! kwanini serikali isiwakamate watu hawa na kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia kushtakiwa?? kama wameshindwa kuwakamata na kuanza kuingiza siasa kwenye maisha ya watu basi ina maana serikali hapa ndio muuwaji wa raia wake!!!!!!! ni mara ngapi tumeshuhudia polisi wanatumia risasi za moto na mabomu kuua raia wasio na hata mawe????? hapa seriakali ikubali tu imeshindwa kazi na istep down ili kuondoa hii fedheha kwa watanzania. shame on you wanasiasa uchwara wa aina ya Mwigulu na ccm wote kwa unafiki uliowajaa. muda waja mtalia na kusaga meno!!!!!! nina hasira sana na hawa watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani hukufundishwa Editing na Space in sentences?
Hujui hata Aya zinakaaje?
Naamini hata wana Bavicha wenzako hawawezi kuisoma hii.
Division zero zinawatesa.
 
mwigulu ni zaidi ya shetani.....ana stahili laana zote.
 
HATA WABUNGE WENZAKE WA CCM,wanamuona chemba hana akili timamu!kawatumia polisi kashindwa,mahakama ndio wametoa onyo kesi za kipuuzi zisipelekwe mahakamani,SASA ANAZIPEKA BUNGENI
 
Mwigulu Atakuwa na Stress asipopata matibabu ataathirika sana kisaikologia
 
mh.mbowe nadhani ni mda mwafaka wa kuijibu serikali kwa ushahidi wa video.tunapata tabu sana mtaani kuitetea cdm dhidi ya prapaganda za huyu shetani
 
sio propaganda, huo ndio ukweli, chadema ni wauwaji. video ya mbowe bado iko studio makao makuu ya chadema inaandaliwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom