Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Niwie radhi kamanda, hii reply ilikuhusisha wewe kwa makosa. Ilikusudiwa imfikie huyu aitwaye A to Z.
Ahsante mkuu wangu,
Nami niwie radhi kwa kukusisha na hao Wariberali-wenza!!
Otherwise tupo pamoja katika kutafuta ukombozi wa pili against Mkoloni mweusi!!
 
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya akifikiri itakuwa ni mbinu ya kuwateka vijana wengi ambao kiukweli wako upande wa gwanda. Sasa hata ameamua kuweka chini skafu aliyozoea kuivaa na badala yake ameamua kuning'iniza shingoni ifananayo na zile za CHADEMA. Nisiseme mengi, wenyewe mwoneni hapo chini na vazi lake:

View attachment 96301

simshngai sana na hapo ndo mahala pake.....kule kwa kina BANZA STONE na sio huku kwa watoa maamuzi!
 
Mhhhhhh, Kofia ya Mchina hiii....

Chairman-Mao-Posters-pic1.jpg
9(99).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom