Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Watembea na sumu hadi bar wanalia huku, mwigulu wape dozi huko mbeya, km iramba tuuu
 
Nawalaaani wanasiasa wanaotembea na sumu na kupanga mauwaji hadi wajirekodi kwenye video...magaidi sana hao
 
Mwigulu nchemba ni mwiba mchungu mno kwa chadema, wazee wa sumu, wazee wa matamko, wazee wa wake za watu...akifanya jambo dogo tu ufipa pale hakukaliki, panawaka moto...

Naona unatumia nguvu nyingi sana kumnadi huyo Nchemba. Mpaka unatokwa na povu mdomoni! Uzi mmoja tu umejaa komenti zako, au wewe ni miongoni mwa wale aliowanunua nini?
 
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya

View attachment 96301

Hiyo kofia ndizo zinatumiwa na Jeshi la China. Kwa hiyo hilo SI wazo jipya
 
Nimekuwa nikiangalia sana vazi la rangi ya kijani na kugundua kuwa wengi wanaogopa kulivaa siku hizi tofauti na zamani,ukiona mtu anavaa ujue analipwa au ana maslahi nalo na imekuwa kulivaa ni mpaka uwe na kazi maalumu tofauti na zamani ambapo mtu ilikuwa ni fahari kuvaa vazi hilo.
Kiukweli Mwigulu kachemsha na hilo vazi,angetafuta mtu ambaye angeweza kudisign nguo ikaonekana nadhifu,yaani anaonekana kama kituko
 
This gentleman is a big joke. Mwone utafikiri mwigizaji wa comedy...ha ha ha! And you take him seriously?
 
CCM wanafurahisha kweli kama siyo kukera,jamaa wanacopy na kupaste bila hata kuedit,wangekuwa ni chuo CCM ilishadico zamani.Sasa hivi kufikiri kwao ndo kumekwisha kinachobaki ni kuvopy na kupaste yale yanayobuniwa na wapinzani.Hapa tuache unafiki,upinzani wanaumiza vichwa sana ili kuonyesha ubunifu na uwezo wao wa kufikiri,ccm wao wanafikiria jinsi gani ya kuwaibia watanzania rasilimali zao na kudumaza elimu kwa watoto wao ili wazidi kututawala.Kiyama kinakuja mda si mrefu, 2015 kitaeleweka tu,rais asipotoka upinzani bungeni wapinzani watajaa na hakuna ujinga utakaosonga mbele.
Heko upinzani kwa kazi nzuri,kiama kinakuja cha maccm
 
Hofu yangu ni hii;

View attachment 96308

Uwepo wa jeshi mbili, JWTZ na JCCM!
mkuu ni kama ulikuwa kwenye mawazo yangu, maana hizo rangi ni kama za maafisa wa jeshi, na hizo mbwembwe zao ndo kabsa, mcheki mwigulu alivyosimama kama mjeda, gwanda lina mbwembwe kama kachumbari. ila wasipoangalia zitatumika vibaya.
 
Kwani siku hizi nyuki hamna tena nini?au washauzwa na majangili maana hiyo mitambara ya kijani na njano inatofauti gani na mimea ya alizeti iliyochanuwa shambani?nyuki wavamie hapo wamtoe manundu....mimi binafsi hata uniwekee shaba shingoni sivai hayo malaana ya kiuganga!!
 
Huu sasa ni uganga wa kienyeji, mirangi rangi mara bendera ni ushamba tu. Anatafuta umaarufu wa ni namna gani vijana wata muiga! Kwa mtindo huo hapati mtu wa kumiga.

Halafu na hiyo nyota nyekundu huwa wanatumia wachina ndo imemfanya kichekesho na midevu yake!
 
Tulia dawa iingie vizuri weweeeee!!!!! Mwigulu ni mwiba acha uwachome vizuri

Naona Juliana anapewa "dozi ya dawa" kila siku, hadi ameanza kusifika kiyoyozi cha gri la Mwigulu, na popote alipo mwigulu lazima Juliana awepo... Kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake... Na mwigulu hana ina, anajimegea tu...
 
Mimi mwanachadema piwaaa! Napenda mabadliko kwa sababu kwa namna yeyote vile lazima yapatikane na hasa watu wakiwa wanayaitaji.
Ila kwa hili vazi la Mwigulu bado natafakuru sana. Nini kipo katika brain yake.
 
hiv hawaoni aibu na makijani hayo? mi siyapendi natamka hadharani

option.

Mtu mwenye akili kama zako, hafai hata kuwa mwanafunzi wangu.

Kuhusu hili la kijani, ni mwehu tu ndie hatasema hapendi rangi ya kijani, huku akifahamu fika, misitu na mazao kibao ni kitaji, bendera ya taifa nayo ina kijani, sasa wewe mzima?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom