Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Rasimu ya katiba mpya imemkata maini. Kiburi na mbwembwe zote pamoja na ubabe zimekatwa na rasimi ya katiba mpya. Manake sasa atajiuliza ni bara ni muungano au ni zanzibar?
 
Nakumbuka enzi zngu chuoni ukivaa nguo zenye hii mirangi unatengwa,mpk sasa nikiziona naona kichefuchef wezi tu
 
Naomba kujua matumizi rasimi ya rangi ya bendera ya Taifa,kwani nahisi kwa sasa inanajisiwa na vichaa wachache,miaka 10 iliyopita ilikuwa hata kibaka akiiba akikimbilia kwenye mlingoti wenye bendera ya taifa haguswi,lakini naona leo wazinzi na majambazi wamefanya ni vazi lao rasimi

Kama unakumbuka mwaka 2005 picha ya Mbowe kama mgombea urais wa Chadema alipiga picha (iliyotumika katika kampeni) ambayo background yake ilikuwa bendera ya taifa na CCM walilalamika sana.
 
Kaaazi kwelikweli

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
...kuvaa sare ya ccm unahitaji uvumilivu sana,maana halivutii kimtazamo....
 
Kombati ya kijani ni ya miaka nenda rudi, wewe hukuijua kwa kuwa u mtoto mdogo.ulikuwa bado haujazaliwa
 
Hizi combat za kijani ni za enzi na enzi kwa vijana wakakamavu wa ccm...mwigulu anaendeleza tu..dawa
 
Huo ubunifu uba sura ya kisharishari. Bora mavazi ya Nape kuliko haya yenye mrengo wa matatizo.
 
Mwigulu amedata... Ila namsifu kwa kum take care Juliana....
 
Mwigulu nchemba ni mwiba mchungu mno kwa chadema, wazee wa sumu, wazee wa matamko, wazee wa wake za watu...akifanya jambo dogo tu ufipa pale hakukaliki, panawaka moto...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom