Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Awali ni awali tu la CDM liko viwango. Hili la Mchemba utafikiri la makampuni ya ulinzi maarufu kama security company tena zile za kichovu. Kuiga nako ni skill sio hivi hivi tu la sivyo utajikuta unaiga kinyume nyume.
 
Mbona wote ni wamoja tu toka kitambo!!

Povu lina watoka pro-CHADEMA, pilipili ya shamba ina wawashia nini?

Kama ubunifu tu wa vazi wa Mhe Mwigulu ndio una wafanya muweweseke hivi, Je, huo mchaka mchaka wake kwenye chaguzi za 2014 na 2015 si ndio mtahama nchi nyinyi?

Viva CCM via Mwigulu.

Ninyi ndo mwamuwewesekea, siye tunamshangaa tu! Sasa nyie mtokwao na mapovu kila muonapo Mwigulu akitajwa basi mtakuwa ndo wale ambao mko kwenye pay-list yake. Basi nanyie vaeni vazi kama hilo alilovaa halafu muingie nalo kitaa muone karaha yake....
 
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya akifikiri itakuwa ni mbinu ya kuwateka vijana wengi ambao kiukweli wako upande wa gwanda. Sasa hata ameamua kuweka chini skafu aliyozoea kuivaa na badala yake ameamua kuning'iniza shingoni ifananayo na zile za CHADEMA. Nisiseme mengi, wenyewe mwoneni hapo chini na vazi lake:

View attachment 96301
Kombati ile kitu ingine bana;;;; uliona wapi kombati ya njano???ya kijani??? Kafulia!!!!!!!!!!!! Ila jamaa unafiki unaumudu sana na yuko tayari kwa lolote kwaajili nya njaa yake ya tumbo. Na Mungu kamsaidia Wwatu wa Iramba wamejilalia usingizi wa pono:kev:
 
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya akifikiri itakuwa ni mbinu ya kuwateka vijana wengi ambao kiukweli wako upande wa gwanda. Sasa hata ameamua kuweka chini skafu aliyozoea kuivaa na badala yake ameamua kuning'iniza shingoni ifananayo na zile za CHADEMA. Nisiseme mengi, wenyewe mwoneni hapo chini na vazi lake:

View attachment 96301

CDM inaongoza, Magamba yanatawala;
 
mbona waiga ya Chadema?....ccm hakuna jipya, maisha wanayo ishi watanzania ndio yanazidi kufanya ccm ionekane kituko
 
Ninyi ndo mwamuwewesekea, siye tunamshangaa tu! Sasa nyie mtokwao na mapovu kila muonapo Mwigulu akitajwa basi mtakuwa ndo wale ambao mko kwenye pay-list yake. Basi nanyie vaeni vazi kama hilo alilovaa halafu muingie nalo kitaa muone karaha yake....
Mkuu vipi, umenifananisha nini?
Wewe ndio utakua upo kwenye payroll ya hao Magamba wenzako.
Ni bora unitukane kuliko kunihusisha na hao wariberali!!
 
Kuna watu huku watakufa siku si zao wakimwona Mwigulu ni presha ina panda

umekosea sana, kati ya watu hawapendwi Tanzania ni huyo miguru na infact future yake ni bleak kama ya chama chake.chama gani kina pendwa na wazee tu!!
 
Jamaa kaamua kuvaa mavazi ya Mafashisti,duuh! hajui kama mafashisti ndo huvaa hivyo? kuiga kwingine nako utata!
 
Povu lina watoka pro-CHADEMA, pilipili ya shamba ina wawashia nini?

Kama ubunifu tu wa vazi wa Mhe Mwigulu ndio una wafanya muweweseke hivi, Je, huo mchaka mchaka wake kwenye chaguzi za 2014 na 2015 si ndio mtahama nchi nyinyi?

Viva CCM via Mwigulu.

Hiyo kapelo mbona ni ya jeshi la China?
Kweli CCM mnalo kwa mlichowakopa Wachina....yaani mmeamua kuwamanulia kila kitu kabsaa??
 
Mkuu vipi, umenifananisha nini?
Wewe ndio utakua upo kwenye payroll ya hao Magamba wenzako.
Ni bora unitukane kuliko kunihusisha na hao wariberali!!

Niwie radhi kamanda, hii reply ilikuhusisha wewe kwa makosa. Ilikusudiwa imfikie huyu aitwaye A to Z.
 
Hizo rangi..!!! usipite jirani na nyuki watadhani wewe ni ua na lazima wakulambe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom