Vazi la CCM na vazi la CHADEMA

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
459
WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.

Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha
 
Nape newye aliwadanganya
Eti yeye kijana anawashauri kuhusu
Mavazi gamba wenzake mwishowe
Ndio kuiga
 
Akiri za maccm zimechakaa wamekosa kabisa ubunifu ili kwenda na wakati wao ni wabunifu sana kwenye upande wa kubuni mbinu mbalimbali za kufisadi nchi hapo tu ndipo akiri yao inapochemka kwelikweli siku akiri yao ikichakaa na hapo hawatakuwepo kwenye uso wa siasa za Tanganyika na Zanzibar.

BACK TANGANYIKA
 
Yani ww ndo ccm mwny akili kidogo kwa kuliona hili.Hata me nawashangaa sn,mmeiga muundo wa vazi letu vilevike,tafuteni lenu bwana
 
Chadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.
 
WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.

Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha
CCM haiwezi kuwa na kijana legelege kama wewe.
Jitambulishe vizuri.
 
Chadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.

tupe data ni mwaka gani na mbunifu wa hili vazi ni nani wa ccm,ili nipate cha kuwaambia vijana
 
Chadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.

Katika watu ambao Nape anapaswa kuwapa nishani ya Utumishi uliotukuka mtandaoni kwa kweli wewe MSALANI unastahili. Hata pale ambapo CCM haistahili kutetewa wewe huwa unajitosa tuu potelea mbali hata wanadamu wakuone hamnazo wewe mradi utimize wajibu wako.
Kwa kweli unastahili utambulike kama Senior Lumumba Buk7 Member na Nape afikirie kukuongezea posho kidogo. Maana hata wale comedian kama atafanya mchezo utakao furahisha watu ila unamdhalilisha sana basi malipo nayo yanapaa.
cc Nape Nnauye. Pse mfikirie huyu jamaa kupandisha posho yake.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kombati ya kijani yenyewe haina mvuto, kwa sisi ma designer kombati inayouza na kuvaliwa ikapendeza ni kaki, hawa jamaa itakuwa wanatamani sana ziwe za kaki ila ndo hivyo tena rangi yazani huku wanasahau hata mtindo waiga kutoka kwa mpinzani
 
WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.

Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha

sijuhi kama unafahamu hata kabla ya kombati mavazi unayozungumzia ndiyo yalikuwa sare za umoja wa vijana wa ccm ?
 
Interahamwe wanajuwa fika kuwa hawapendwi na vijana wengi, hivyo wanadhani wanavutiwa na vazi la safari suit aka "Combat".

Pia nimeona vijana wa Lumumba siku hizi hawavai mikofia na T-shirt za CCm bali wana jifunga scuff zenye rangi ya bendera ya Taifa ambazo kipindi cha nyuma CDM ndiyo walikuwa wanazitumia. Ukitaka kuwaona vijana hao wachumia tumba huwa hawakosi kwenye kipindi cha "Malumbano ya Hoja" ITV., ili kutimiza malengo yao kwa anaye watuma.
 
Back
Top Bottom