Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Utakuliana sawa lakini mambo huwa yanabadilika miaka michache baada ya ndoa..... Seriously wanaume msioe wazazi, labda km huyo mtt ni wako ulizaanae
Selfish mf..mbona mwanaume mwenzio kaoa baby mama wako na wanaishi hadi leo..?.mkuki kwa nguruwe sio?!usipangie watu maisha... Ur silly story umeshindwa kusimamia maamuzi yako mwenyewe unakuja na hasty conclusions ohh msioe wazazi...basi na wewe mwanamke asikukubalie mana tyr una mtoto...
 
Haha wanajua wanachokifanya na wazazi wenzao, ndo maana wengi pamoja na kuwa na watoto still hawataki kuoa single mommas pia. Kwa kweli muosha huoshwa tu, acha waendelee kuwa wavurugaji afu wategemee wataenda kuoa na kuishi happily ever after.
Ndo ushangae...alishakataa kumuoa uyo dada..amwacheee atunze ndoa yake...vishawishi lazma viwepo,ni jukumu Lake kusema NO... Wanaume hv kwa nn No ni ngumu sn kwenu?.
 
Ukishazaa na mtu uwe tyr kumuoa otherwise be ready to deal with consequences... Nazo zitakuja kwa sura nyingi.,
 
Ndo ushangae...alishakataa kumuoa uyo dada..amwacheee atunze ndoa yake...vishawishi lazma viwepo,ni jukumu Lake kusema NO... Wanaume hv kwa nn No ni ngumu sn kwenu?.
Mmh hawajuagi kusema "NO", na pia they will never admit kuwa na wao walikosea pia kwa kutokuwa na misimamo. Muda wote wanataka kuonekana ni victims tu, walisukumwa. Wao huwa hawana choices ila huwa "wanajikuta" yameshatokea. Sipendi mtu who put blames others as if yeye hana ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi, na since wanajua sana kujiendekeza wacha waendelee kusuffer consequences za choices za wengine. Mtoto wa kwanza walijikuta, na wa pili wamejikuta tu tena, bado mtu anamlaumu tu mwenzie, haoni kuwa na yeye ni reckless kufall into her traps all the time. Soon watajikuta wana mtoto wa watu. Namuonea tu huruma huyo mume
 
Kabla ya yote natangaza interest; Nilikuwa mwingi saana saana na hao watoto nilozalisha waweza anzisha kijiji chao cha ujamaa. Lakini hakuna mtu anayechukia kulea mtoto wa mwingine ka mimi. Usiulize kwa nini kwani sintakujibu.
Sasa nilipokuja kuoa, nilimkuta binti yupo kwao. Kaja tu likizo shule imefungwa nikachukua juu juu hadi kwangu. Msianze ohhh uliponaje hayo siri yangu lakini Mungai hakunipata. Ingelikuwa Ndali leo ningelikuwa Segerea. Usijaribu.
Tangu siku hiyo nilipompata huyu binti, nimedata. Wivu hadi masikioni unaimba kwangu. Ndo maana sitaki kuwajibika na hao wengine kwani mama zao walinizingua. Siwezi ku shea kifua kimoja na mwingine.
Ushauri.
Tuwekane wazi mapemaaaa kabla ya hatua ya kuishi pamoja. Akiisha ingia nyumbani ukamgundua kuwa alikuwa na mtoto, hakika asikudanganye mtu. Uaminifu haupo.
Ukimfunulia mwenzio mapema, wataitana wazazi wenza wajadili hatma ya mtoto. Uamuzi ukiwa kaa na mtoto basi, ni mwisho wa kuja kumwona au kumletea chochote. Atakuwa wangu kabisaaaa. Sitaki jama kumwona aliyemiibia. Kama aking'ang'ania kuwa anamtaka mtoto wake, achukue kabla hujamchukua mwenzi wako na mawasiliano yakatike hata kama ni nyumba ya jirani na hapo kwenu. Kinyume cha hapo ni kuuendeleza uasherati tu. Mavi ya kale hayanuki na kiporo cha moto ni chakula tu
Post nzuri ila ulipokosea ni kukitelekeza kijiji chako cha ujamaa.hivi unamuhukumu vipi mtoto Na kumuadhibu kisa mama yake alikuzingua.
Umelishwa limbwata au zuzu wewe.
 
Post nzuri ila ulipokosea ni kukitelekeza kijiji chako cha ujamaa.hivi unamuhukumu vipi mtoto Na kumuadhibu kisa mama yake alikuzingua.
Umelishwa limbwata au zuzu wewe.
Na mama zao walimzingua nini? Kwamba yeye ndo alikuwa perfect kwenye mahusiano yote hayo ila baby mommas ndo walikuwa na matatizo? Some people will never own their mistakes. Muache tu atelekeze hao watoto, ipo siku yake tu, whatever happened watoto hawana kosa. Umewazaa watoto bila mpangilio kwa tamaa zako then unawatelekeza, unaanza familia mpya unaishi happily ever after (his wishes so far). Mungu hakawii, wala hachelewi
 
Kuna demu mmoja mke Wa mtu ana watoto 5 kwenye ndoa yao.
mwaka 2014 tulianza mahusiano ya siri baadae akasema anafanya hivyo kisa mumewe mkali anampiga kila Mara zaidi zaidi hamridhishi kimapenzi
Baada ya wiki akapata mimba Na mtoto anafanana Na Mimi hadi naogopa.Kuja hapa nilipo anapanda basi mwendo Wa saa mbili,anakuja anashinda saa kumi anarudi
Siku moja akapaki kila kitu Na kuachana Na mume wake waliejenga nae nyumba 2 Na miradi kadhaa nikashangaa fuso inapaki nje ya ghetto langu vitu vingine ilibidi tuweke kwa mwenye nyumba maana Nina chumba Na sebule tu.
Watoto wote 5 wako kwa mume wake hapa kaja Na yule niliezaa nae
 
Dada hili jambo naona kama impact zake zimekugusa sana pole
 
Dada hili jambo naona kama impact zake zimekugusa sana pole
Wala mwaya, namshukuru Mungu nimelelewa na baba na mama yangu. But it hurts and it's very disappointing mtu anapoona ni sawa tu kumtelekeza mtoto ambayo hakuomba azaliwe naye. Yeye ndo aliamua kuzaa, sio mtoto. Hakuna mtoto anayewish kutelekezwa. .....
 
Kuoa/kuolewa na mwenye mtoto kabla ya ndoa changamoto zake ni nyingi, lazima mhusika ajiandae kisaikolojia.
Juzi nimepanda boda, baada ya salamu dreva wa boda akanigonga swali hilo, akasema "eti bro kuoa mke mwenye mtoto ni shida?" Nikajua mshikaji tayari yuko NJIA PANDA!
 
Kuna demu mmoja mke Wa mtu ana watoto 5 kwenye ndoa yao.
mwaka 2014 tulianza mahusiano ya siri baadae akasema anafanya hivyo kisa mumewe mkali anampiga kila Mara zaidi zaidi hamridhishi kimapenzi
Baada ya wiki akapata mimba Na mtoto anafanana Na Mimi hadi naogopa.Kuja hapa nilipo anapanda basi mwendo Wa saa mbili,anakuja anashinda saa kumi anarudi
Siku moja akapaki kila kitu Na kuachana Na mume wake waliejenga nae nyumba 2 Na miradi kadhaa nikashangaa fuso inapaki nje ya ghetto langu vitu vingine ilibidi tuweke kwa mwenye nyumba maana Nina chumba Na sebule tu.
Watoto wote 5 wako kwa mume wake hapa kaja Na yule niliezaa nae
Ila na wanawake na sisi mmh, wanaume wengi sana wanalea watoto wasio wa kwao. Sijui tunawawaziaga nini hawa watoto........
 
Mimi nachangia kwa upande wa kiumeni.

Kufikiria kuoa au kutomuoa Mama mwenye mtoto ni jambo moja, kumpata asiye na Mtoto sasa ndio shughuli ilipo.

Nilifanya utafiti wangu usio rasmi yaani kwenye kila Mabinti kumi wanaovutia (yaani anayekushawishi umtongoze) saba mpaka nane kati yao ni either tayari ana Mtoto/Watoto au yupo kwenye ndoa.

We hebu just imagine...usome S/Msingi, umalize sekondari, uende chuo, uanze kazi.. ndio sasa useme ngoja utafute Mke...labda uamue tu kubeba yeyote atakayekuja mbele yako, ila kama una choice zako mzee, wengi wamewahiwa.

Usidhani wanaoamua kuoa Mwenye Mtoto ni kwa utashi wao, ni imembidi, hapa ni kujiandaa tu kisaikolojia kulea Mtoto/Watoto wa kambo.
wengine bado tupo hatujawahiwa hahaha
 
Kuoa/kuolewa na mwenye mtoto kabla ya ndoa changamoto zake ni nyingi, lazima mhusika ajiandae kisaikolojia.
Juzi nimepanda boda, baada ya salamu dreva wa boda akanigonga swali hilo, akasema "eti bro kuoa mke mwenye mtoto ni shida?" Nikajua mshikaji tayari yuko NJIA PANDA!
Msisahau pia wanaozaa nje huku wakiwa ndani ya ndoa.
 
Ila na wanawake na sisi mmh, wanaume wengi sana wanalea watoto wasio wa kwao. Sijui tunawawaziaga nini hawa watoto........
Heaven kama Siku serikali ikafanya DNA test kila familia ndoa nyingi zitakufa kifo cha mende aisee
 
Kama mke wangu kazaa na mtu nje ya ndoa....nampa talaka na kumnyang'anya watoto wangu ili aende kukaa na huyo aliyezaa naye nje ya ndoa.
 
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,

Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.

Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.

Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..

Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.

Again am sorry.
Upo sahihi hata mm naweza kukaa na mtoto ila cntakubali to intertain suala LA mzazi kuleta mazoea kwangu, na mawacliano ya mtoto yapitie kwangu cyo kwa mume wngu alaaaaah[emoji5] [emoji5]
 
Anapiga simu kwa mzazi mwenzie kisha anaagiza usafiri ( bodaboda ( na kama ana hamu nae sana anamsubiria likizo yote akakae nae hadi siku mbili kbl ya shule kufunguliwa...!

Ni haki yake kumuona mwanae lakini sio eti apige simu iujumaa kisha jumapili anrudishe mie kwangu hiyo sitaki.. Likizo zipo NNE katika mwaka ruksa amchukue zote.
What if mtoto unakaa nae afu wenzako wnaendleza penzi lao kimya kimya?
 
Back
Top Bottom